Ben Pol with his bae at Salt Bae Dubai

Wakenya inabidi mjifunze kuwakaza wanawake zenu vzr

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi nini kinasababisha wasanii wenu wa kutajika (top cream) wote wamewakimbia mademu wenu, hata AY amefuata Rwanda.....
Kiba na Mondi ambao ndio kila kitu Bongo kama ilivyo Simba/Yanga, wote wamefuata Kenya. Jameni hamna haja ya kuwakimbia mademu wenu, wapeni elimu watapendeza pia kimataifa, najua mnaogopa aibu ya akina Mobeto kwamba demu anapendeza lakini ukosefu wa elimu na exposure anafanya vitu vya kijinga kama kwenda kwa mganga.
Au muwalete huku wapate elimu ya Kikenya, kwa mfano Vanessa Mdee ambaye amesomea Kenya, yaani yupo sawa upstairs hata ukitazama anapohojiwa kimataifa.
 
Unajua tofauti kati ya Akili na Elimu mkuu???
Unafikiri kuongea kingereza ndio kuelimika na kustaarabika?Nini kinachokufanya umuone Vanessa ako sawa upstairs???Pole yako ni mpuuzi tu kama wewe.
Ndo nishasema.Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ben pol bana has been sponsored by madam keroche to travel all over, unafikiri he is using his money, you should check the wealth behind arnelisas family, hapa ndio tunasemanga sponsoree manenos

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata kama, lazima ben pol ana kitu cha Ziada ndio maana huyo demu hajahepa, Unadhani Ben Pol angekuwa ni Mkora kama wewe huyo demu angekubali kupigwa mashini?
 
Hivi nini kinasababisha wasanii wenu wa kutajika (top cream) wote wamewakimbia mademu wenu, hata AY amefuata Rwanda.....
Kiba na Mondi ambao ndio kila kitu Bongo kama ilivyo Simba/Yanga, wote wamefuata Kenya. Jameni hamna haja ya kuwakimbia mademu wenu, wapeni elimu watapendeza pia kimataifa, najua mnaogopa aibu ya akina Mobeto kwamba demu anapendeza lakini ukosefu wa elimu na exposure anafanya vitu vya kijinga kama kwenda kwa mganga.
Au muwalete huku wapate elimu ya Kikenya, kwa mfano Vanessa Mdee ambaye amesomea Kenya, yaani yupo sawa upstairs hata ukitazama anapohojiwa kimataifa.

Kwa Vijana kama Mimi kuna uwezekano mkubwa wa Kuwa na demu wa Kikenya, sababu Mademu wa Kikenya wengi ni wa Kujimix na wanapenda sana wabongo, nikimtuliza na kuzungumza nae kiswahili sanifu basi lazima nibebe, but when it comes to Wife narudi bongo aisee, yaani Mademu wa Kenya 90% wanabugia pombe sana, ni Walevi, very contrary kwa Mademu wa Bongo ambao most of them are moral women, Perfect Mothers, binafsi siwezi oa mwanamke mlevi,
Nimedate demu wa Kimeru kwa Muda sasa hadi ameolewa kiukweli nilikuwa naenjoy sana uchangamfu wake ila ndio tungi sana mpaka unambeba.
 
Sasa wewe unateseka nini?
 
Suala la unywaji wa pombe kwa wanawake halina Ukenya wala Utanzania, nimeishi nchi zote mbili tena kwa muda mrefu haswa kipindi nilikua mnywaji wa pombe, nalifahamu kwa undani. Hapo Bongo nimekunywa pombe sana na mademu tungi, kwanza kuna mmoja hata nilishawahi kufungua uzi juu yake kule jukwaa la MMU, yaani demu nimemualika kwenye meza yangu anipe company tupige story, nikaanza kumuagizia, aisei binti wa watu alinishangaza kuchezea chupa 17 ndani ya muda mfupi sana na halewi, yupo yupo tu.
Sio kwamba mimi mbahili, napenda sana kuwanunulia wadau pombe japo sinywagi siku hizi, niliacha kabsa, lakini nielewavyo mademu, kawaida yao hawazidi chupa tano, lakini huyu binti wa Dar kaniacha hoi, anabugia crate nzima ya beer na kuendelea na story kama kawa.
 
Unajua tofauti kati ya Akili na Elimu mkuu???
Unafikiri kuongea kingereza ndio kuelimika na kustaarabika?Nini kinachokufanya umuone Vanessa ako sawa upstairs???Pole yako ni mpuuzi tu kama wewe.
Ndo nishasema.Asante

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona unajishtukia, nani kataja mambo ya Kingereza....
Watanzania wote ambao wamesomea Kenya huwa na kautofauti hata kwenye kujiamini na kujituma wakirudi kwao, huku kwetu haufaidi elimu tu, kuna mengine mengi unayo ongezewa, na ndio maana Watanzania wenye hela huwatuma watoto wao kusomea huku au wanawapeleka kwenye shule za Bongo zenye walimu wa Kikenya.

Nafikiri hili bango hapa kwenye hii picha itakufundisha kitu

ajira.jpg
ajira.jpg
 
Hivi nini kinasababisha wasanii wenu wa kutajika (top cream) wote wamewakimbia mademu wenu, hata AY amefuata Rwanda.....
Kiba na Mondi ambao ndio kila kitu Bongo kama ilivyo Simba/Yanga, wote wamefuata Kenya. Jameni hamna haja ya kuwakimbia mademu wenu, wapeni elimu watapendeza pia kimataifa, najua mnaogopa aibu ya akina Mobeto kwamba demu anapendeza lakini ukosefu wa elimu na exposure anafanya vitu vya kijinga kama kwenda kwa mganga.
Au muwalete huku wapate elimu ya Kikenya, kwa mfano Vanessa Mdee ambaye amesomea Kenya, yaani yupo sawa upstairs hata ukitazama anapohojiwa kimataifa.
Mimi nafikiri wewe ndo utujibu, Ni kwa nini madem wenu wanapenda sana wasanii wa bongo?
 
Kasumba ya kikoloni ipo katika nchi zote zilizotawaliwa, ukienda Zanzibar na Mombasa, wanathamini sana kiarabu, Msumbiji na Angola wanathamini Kireno, DRC, Burundi na Cameron ni Kifaransa, Kenya Uganda na Tanzania ni Kiingereza.

Tatizo la wakenya ni kuabudu kiingereza zaidi kuliko lugha yenu ya Taifa. Sisi huku Tanzania kama ilivyo Kenya tulikua tunakithamini sana, lakini baba wa Taifa taratibu alituelewesha na kutukomboa katika minyororo ya kitumwa toka kwa wakoloni, kama alivyotukomboa toka katika tatizo la ukabila na udini.

Bado wapo wachache miongoni mwa watanzania wanaothamini na kukiona kiingereza ni bora au ndio kuelimika, lakini sio wengi na juhudi zinafanyika kuhakikisha wanaachana na mawazo hayo ya kipumbavu kama walivyoachana na ukabila na udini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nafikiri wewe ndo utujibu, Ni kwa nini madem wenu wanapenda sana wasanii wa bongo?

Wasanii hupendwa na mademu wote kote duniani, huyo Ali Kiba hata akienda Msumbiji, Rwanda, Zambia, Uganda na mataifa yote ya ukanda huu atapendwa tu, lakini sasa hili la top cream ya wasanii wenu wote kufuata Kenya ndio haileweki, na hata ambao hawaji Kenya wanafuata nchi zingine kama Rwanda au Uganda na kuwaacha akina Wema Sepetu wakiliwa na wanasiasa.
 
Kwa mkenya, mnyarwanda, mrundi, mkenya au wamalawi kuolewa na mtanzania, ni kama kupata ajira ya kudumu yenye kipato kizuri.

Kwa ujumla watanzania wanakubalika sana hapa Afrika, wanawake kwa wanaume, nani asiyependa kuishi katika nchi ambayo hutobaguliwa kwa sababu yoyote ile, nani asiyependa kuishi kwa uhakika kwamba haitotokea vita ya aina yoyote ile?, nani asiyependa umoja, mshikamano na amani ya Tanzania?.

Msiwalaimu hao mabinti wa kikenya, nenda hapo Rwanda na ujitambulishe kwamba wewe ni mtanzania uone jinsi wasichana watakavyokusumbua. Wakenya lazima wawe wakweli, mbona wazungu wakiwaoa wakenya hawageuzi maneno?, kawaida waliopo juu ndio wanawaoa walipo chini, hivyo ndivyo ilivyo, sio vinginevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii hupendwa na mademu wote kote duniani, huyo Ali Kiba hata akienda Msumbiji, Rwanda, Zambia, Uganda na mataifa yote ya ukanda huu atapendwa tu, lakini sasa hili la top cream ya wasanii wenu wote kufuata Kenya ndio haileweki, na hata ambao hawaji Kenya wanafuata nchi zingine kama Rwanda au Uganda na kuwaacha akina Wema Sepetu wakiliwa na wanasiasa.
Kwa taarifa yako ndo tunaanza kuwadominate hivyo, maana mke siku zote yuko chini ya mume, na kenya imetoa wanawake wengi kwa wasanii wa kibongo so mnaenda kuwa chini yetu

Jiandaeni kisaikolojia
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom