Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umetisha mkuu.Jicho la kimakinikia hilo. Lazima aliliwa mtu hapo
Utajadili nini mbele ya Magu??hapangiwi wala hajadili na mtu kashasema anajiamini kwa hiyo tulia ataifikisha tu sisi tupige umbea na kulalaAcheni umbea tujadili tunaifikisha wapi nchi hii kimaendeleo nyie kama vijana
Majukwaa yapo mengi mkuu. Nenda kajadili. Huwezi mtu saa 24 hujadili kitu kimoja.Acheni umbea tujadili tunaifikisha wapi nchi hii kimaendeleo nyie kama vijana
Avatr yako tu mkuuHapa. Hajafungwa mtu akili kweli?
Unamaandeleo gani wew ebu kaa kimya huko .... Icon yako ...imejaaa uvunjaji wa Maendeleo ya wengine ..... [emoji102][emoji188]Acheni umbea tujadili tunaifikisha wapi nchi hii kimaendeleo nyie kama vijana
Nenda jukwaa la sihasaAcheni umbea tujadili tunaifikisha wapi nchi hii kimaendeleo nyie kama vijana