The Mastermind
Senior Member
- Dec 3, 2012
- 107
- 50
binafsi nimekuwa nikipata tabu sana kumuweka 1 juu ya mwenzake ben pol anajua kunyonga chorus hali kadharika belle 9 na nyimbo zao sasa embu nisaidieni hapo nani yuko juu zaidi ya mwenzake
ndo kina nani hao?
BELLE 9 NOMA WEWE...
HUKUNA WA KUFANANA NAE KATIKIA BONGO RnB hapa TANZANIA. Sauti ya Belle9 inatokea tumboni sio puani. Itamchukua miaka mingi sana Ben Paul kuwa kama belle9.
Mimi ni mwanamuziki na ninajua muziki.