Ben Paul athubutu kufuata nyayo za Diamond

Will i.a.m

JF-Expert Member
May 24, 2012
347
49
Ben Paul nae ameandaa shoo yake na kupanga kiingilio kikubwa kabisa katika histori ya muziki wa bongoflava tangu uanzishe na kwa mara ya kwanza kiliwekwa na msanii Diamond kwenye shoo yake ya Diamond are forever.

Diamond ndio msanii wa kwanza kuweka kiingilio cha 50 elfu ambacho ni kikubwa sana tangia Tanzania ipate uhuru,kila la kheri Ben Paul na najitahidi kufuata nyayo za msafi kwani shoo ya Ben Paul itakua ya lisaa limoja.
 
show ipi iyo ya buku50 au ya ambassada lounge??navofahamu mimi iyo show ni elfu10..ata ivo kuvunja rekodi ya domo hasaau 1.huwezi fananisha ukumbi wa mlimani city na sebule ya ambassad lounge 2.benpaul ana audience ndogo sana 3.hana unyama wa kujaza watu kapoa sana 4 ata meneja wake(ruge) kajitahidi sana kumtengeneza afikie level zile lakini tangu atoke kwa mlab kwa kina patrick hakuna jipya alilofanya ni yule yule.
 
hiyo hiyo vip ni elfu 50 kawaida elfu kumi swala ni kujaribu tu kufanya hivi kwani hizi ndio development tunaziozitaka
 
hiyo hiyo vip ni elfu 50 kawaida elfu kumi swala ni kujaribu tu kufanya hivi kwani hizi ndio development tunaziozitaka

kila la kheri zake.....hofu yangu ni pale ambassada sku izi kunajaa wasanii tupu na wote wanaingia free,imekuwa kama kijiwe cha wasanii.
 
Mbona nilionaga umu umu yale mapromo sijui yakweli kuwa almasi alishafanyaga show ya laki na nusu arusha au nimechanganya mtandao. Mmh.
Na uyo ben poul mkali akaze buti mbona almasi naye kimbola kina anza kuchuja.
 
almasi ni next level klwani anajitambua huyu mtoto anatumia vema pontential yake kwa mfano mtu kama juma nature abgetumia akili na umaarufu wake wa kipindi kile angekua mabli sana kimaendeleo sema ndio hivyo mwenye mali hansa akili diamond anajijua yeye ni nani na ajitumia vp kujinufaisha aliweza kufanya shoo ya laki na nusu na ukumbi ukajaa sijui tamasha lake la diamond are forever itakuaje this year
 
Benpol is the best compares to diamond..but the fact is diamond ana mvuto kwa jamii kuliko benpol..hii inatokan na ubunifu wa diamond na kujituma kwa bidii..
 
Back
Top Bottom