Beluga cavier: chakula zaidi ghali duniani

Watu huko umasaini wanashea maji na mifugo halafu kuna watu wananunua Beluga kwa zaidi ya Tsh 20m taslimu bila makato ya VAT. Upumbavu mtupu. Serikali iwachukulie hatua.
 
Hii biashara ni ya ajabu sana, Yaani malipo yake ni cash
Black market ilishamiri sana walipo piga marufuku uvuaji wa samaki kwa ajili ya mayai

Nimenunua sana na kuuza ila kupitia mkono wa tatu
Ila mmnunuzi mzungu aliniambia kununua ni lazima niende na cash kwenye briefcase.

Biashara kichaa na Ina hela haswa
Zinawekwa ujazo wa 50g na 100g

Mafia wa kirusi wanafanya sana hii biashara
 
Asante sana. Nimeongeza kitu kipya kwenye ubongo wangu leo
 
Kuna dada muandaa maudhui ya mapishi mtandaoni huwa namuona akila hii kitu, nikawa najiuliza ni nini hiki!!🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Kuna dada muandaa maudhui ya mapishi mtandaoni huwa namuona akila hii kitu, nikawa najiuliza ni nini hiki!!🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Ya kichina hiyo.. OG haiwezi😂
 
Mashariki ya kati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…