kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,098
Ni msanii wa RnB ambaye huwa namuita mchawi wa Melodies na chorus...mm ni shabiki yako wa mstari wa mbele ambaye napenda kukushauri na kukujenga bila kuchoka...usipozingatia haya kima kinakuja....
1. Jaribu kuelewa mashabiki zako wanachokupendea..zile back vocal zako + melodies za rnb ndo zilikuweka na zitakuweka mjini.huo wimbo wa MA OLE kweli hatujakuelewa...usijilazimishe kufata soko kwa kuimba nyimbo za kuchezeka wakati flavour wanayopenda mashabiki zako wengi ni mautundu ya melodies za rnb na back vocals zako kali
2. Kuuza nyimbo wasafi unajididimiza...hii ni kwa wasanii wote wadogo ambao hawajapata publicity kubwa kiasi cha nyimbo zao kutafutwa...wewe bado unahitaj wimbo wako uwatafute mashabiki waupende wausikilize ili upate show na cyo kuuza wimbo.bro hizo level hujafikia ila kuna muda ukishafkia level hizo utafanya....usiponzwe na hela za downloads za wimbo ambazo hata laki moja kuifikisha siyo leo.
3. Ongeza kolabo....wafikirie watu kama TID, LADY JAY DEE, ALI KIBA, RICH MAVOKO, FID Q, JUX....ukifanya kolabo na moja kati ya hao utaniambia mwitikio wake utakavyokuwa mzuri
4. Chorus za HIP HOP kwa hapa Tanzania huna mpinzani...ziongeze uzidi kupaa Baba
5. Heko kwa uongozi wako unajitahidi...wanapaswa waongeze ubunifu na jitihada
6. Mwisho nakutakia kila la kheri maana hakuna msanii wa rnb ninayemsikiliza zaid bongo hii zaidi yako