WanaJF huyu mtu naomba contact zake tuuuuu.....najua yuko hapa kila wakati.....ana mdomu umejaa strawberry sijui, sijui nini yaani full utamu...BelindaJacob mama kama unanisikia kilio changu.....
Bwana mdogo Vienna unapafahamu ? nauli unayo ? Una hela au kazi ya kuweza kupata visa ? kama majibu ya maswali haya ni ndio nitafute nikupeleke kwa Belinda acha kujaza nafasi hapa JF.
hiyo sio tamaa bana ni nature! hivi umesahau kwenye baiolojia wanasema kila sekunde kunatengezwa sperms millioni something, sasa unadhani kama hawajapungua kupitia posts za lizzy si watazeeka halaf wasababishe cancer? think! Lizzy think
Bwana mdogo Vienna unapafahamu ? nauli unayo ? Una hela au kazi ya kuweza kupata visa ? kama majibu ya maswali haya ni ndio nitafute nikupeleke kwa Belinda acha kujaza nafasi hapa JF.
Watu tayari wameonana na Belinda acha zako eti Vienna....belinda yupo kwingine na wala sio huko unakozani weye...hahahahahahaha PM nikuambie aliko hahahaha....