Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
- Thread starter
-
- #41
Gosh Kloro....ngoja nikalale sasa kabla sijahamishia bifu pande hizi.Ila nakuasa TAMAA MBAYA!!!Alafu nilifeli chekechea kwahiyo bailojia hua nasikia tu mtaani!!
hiyo sio tamaa bana ni nature! hivi umesahau kwenye baiolojia wanasema kila sekunde kunatengezwa sperms millioni something, sasa unadhani kama hawajapungua kupitia posts za lizzy si watazeeka halaf wasababishe cancer? think! Lizzy think
Khaaaa....unaona ulivyo na tamaa!!!?
Jamani kwani invizibo amekataza kupiemu?hiyo ndo kontakti rahisi..WanaJF huyu mtu naomba contact zake tuuuuu.....najua yuko hapa kila wakati.....ana mdomu umejaa strawberry sijui, sijui nini yaani full utamu...BelindaJacob mama kama unanisikia kilio changu.....
tobaaaa! ramani ya suruali yangu imebadilika ghafla! (Mungu epusha mbali hii sredi isje ikapelekwa jukwaa la wakubwa).
Sura nzuri kama yangu...macho ya kurembua bila kulazimisha...sauti nzuri zaidi kinanda...pesa...ukareeee na jina kubwa!
Khaaa......jamani Maria Roza umejificha wapi siku hizi mpenzi wangu????????????????
If you love Me, keep My commandments
no comments, namiss wewe sana tuu
Ukijakuta huyo BJ ni chongo usije ukakimbia tafadhali. Mamaa Belinda jitokeze basi!
Majukumu baba watoto si wajua nawaandalia wanetuu!! me love u:bange:
Belindaa kapotelea wap tena jamani?
Belindaaaaa..... Belindaaaaa......, we Belinda wewe njoo kuna mtu anasumbua huku!!
BJ where are you??
MMMh!!
Belinda ni wa siku nyingi, tangu DHW.
bj anaogopa ku-reply sababu ya ban na hapa anaonekana yupo online..
hapa hapa nitampata, SiPM maana mtasema nazunguka...live natoa feelings zangu....sijifishi na hapa hapa kama kuna pingamizi liwepoJamani kwani invizibo amekataza kupiemu?hiyo ndo kontakti rahisi..