Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Tusi manaake nini labda tueleweshane, pili unaposema nashindwa kuadmit kwa sababu ya uoga kumuogopa nani???? na kama ni uelewa basi wewe ndiyo hujaelewa, hapa inazungumziwa Africa and the research is about there sasa kama unataka ya Asia, Australia, America work yourself up utapata tu. Mkuu unadisplay a typical Tanzanian attitude ya kutokukubali kukosolewa au kuhojiwa hata kama kuna ukweli
Naona naongea na mtoto wa chekechea hapa.
1. Tafuta kamusi utafute maana ya maneno. Usinipotezee muda.
2. Africa ni bara lenye nchi zaidi ya 51 na watu zaidi ya milioni 300. Sasa labda wewe utuambie kama Africa ina watu 25,000 na nchi 9 tu? Kushindwa kuliona hili ndio uoga wenyewe na kuwa na weak mind.
3. Mhh..nakataa kukosolewa? Nimekataa kukosolewa ktk lipi?
Naona unaanza kuchemka hapa. Punguza jazba.