Kuhusu kuamini kuwepo kwa juju Tanzania kwa muda huu inatokana na kuwepo kwa vifo na ukatili kwa maalbino. Hivyo si sahihi bali nicurrent. na ndivyo ilivyo swala la ukewnza kukataliwa na watu 'wengi' Afrika kusini. hii inatokana na shutuma kali dhidi ya Zuma kuwa na wake wengi. Takwimu na Pol results zinatakiwa kuangaliwa kwa ungalifu na kwa undani zaidi ya vile zinavyoonekana, mara nyingine ni kutaka kuhalalisha mtizamo wa mwandishi!! Skewed data.
Watu tusitoane macho hoja inasema watanzania wengi wanaamini kuwepo kwa uchawi na si kuwa wanashiriki katika uchawi. Binafsi naamini Biblia ambamo imeandikwa uwepo wa wachawi duniani, na kuelewa wangu hata Europe wapo japo ndio majina ya kisasa wamepewa kama astrologers. Kuna makampuni hawasaini mkataba bila kwenda kwa mchawi. Je yule "mganga au mchawi" wa Serbia anayepelekewa wachezaji mpira itakuwaje. 93% ya timu za mpira Uingereza zinaamini uchawi?