Bwa ha ha..sielewi unataka kuwatetea nini hapa. Sentensi nilokuwa naielezea ni hapa ni hii.
Hii nayo ni hasty generalization, na kauli ya watu wanaofanya research based on hearsay au kusoma magazeti tena ya online. Na watu superficial kaa wewe find it faultless. Sasa nasikia hata uvivu kuendelea kujibu post za mtu mwenye upeo mdogo kaa wewe. Kauli kaa hiyo sio tu ni kama imetolewa kutoka 'juu ya rooftop', bali pia inaassume viungo vya maalbino vipo vinatumiwa na kila mganga wa uchawi. Hii ina serious repurcussions kwamba kila mganga wa uchawi Tz ni mkosaji kwa kushiriki uuaji wa maalbino kwa namna moja au nyhingine. Sasa it occurs kwenye akili yangu kwamba serikali haina sheria kuhusu uchawi. ..probably kutokana na kutosikiza maelezo ya watu wajinga kaa hao walioleta hiyo article.
and for the record, if it might come as a consolation to you, may be, huezi ukanifundisha chochote kuhusu research, all of my four degrees I have been doing research, theses, writing reports and presenting papers. Sasa kaa unacho chochote cha kufundisha wafundishe watoto wako na mkeo.