Beki tatu wetu

Hata fikra yako bado ni nadharia,hata kama amedangaya haina madhara ya kuumiza yoyote,bali kufikirisha na kufanya muda uende

Unaemsikia anapeleka muda uende kwa uongo ujuwe maisha yake anayoishi ni uongo mtupu.
 
Mi na kukubali sana mkuu uyo bibi umefanya la maana sana kumpuuza.hao sindo walewale wa kijani wachumia tumbo yupo tayari kuikana dini yake kisa kijani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 

looo! (bold)
 
hahaha [emoji23]

woooooooozahhhhh

bibi nakuona unatoa mkong'oto...

ngoja niicheki hii mechi.

sibanduki. [emoji23]
 
ngoja Faiza foxy aje kututhibitishia kama ni kweli uyo house girl wenu [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23]

haha

bibi kashatoa dozi.

ila nasikia eti huenda mshana na faiza baadae wakafunga ndoa πŸ™„ πŸ™„
[emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbuka kitu kimoja wapuuzi hawajibiwi
bro heshima kwako!!

hivi ulimfanya nini Faiza Foxy??

she is very allergic to you.

ila nasikia eti mnaweza mkafunga nae ndoa hapo baadae πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„
 
We k. utakua na matatizo makubwa sana kwenye medula oblangata yako'
 
bro heshima kwako!!

hivi ulimfanya nini Faiza Foxy??

she is very allergic to you.

ila nasikia eti mnaweza mkafunga nae ndoa hapo baadae πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„
[emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…