Mazingira yanaonesha huyo ni Mama yake Mzazi, na hapo ni sehemu anapofanyia kazi Mama wa Mtoto. Kitu kama Sokoni hivi.
Mama wa Mtoto anaonesha amechoka, ameamua kujipumzisha na hakuna wa kumuangalia Mtoto zaidi ya yeye mwenyewe, na ndio maana akaamua kutumia mbinu hiyo.
Nchi zilizoendelea wanakuwa na mikanda mirefu anajivisha Mzazi na Mtoto wake, huku wakiwa wanatembea. Na mara nyingi sehemu zenye wingi wa watu
kuna mdada(binti mdogo) aliongozana na mtoto analia kamasi zmetapakaa nkamuuliza kwani nin humtulizi mtoto anyamaze hata kwa kumnyonyesha, akanijbu huyu hana baba na mimi sina baba dawa yake c titi ni kumpata baba! duuu!
Umemuamini mleta mada kuwa huyo ni "beki tatu" wao?
Mleta mada ni muongo wa kutupwa. Hiyo picha inaonesha huyo mama yupo daraja la watembea kwa miguu amma anaomba omba amma ana biashara zake amma kujikumbusha tu na kamfunga mwanae miguuni.
Huyo anaejiita Mshana Jr. mimi huwa nnasema mara nyingi sana, kazi yake ni kupotosha na kudanganya umma kupitia JF.