Beki tatu mkiwaacha mjengoni hivi ndio inavyokuwa......

Beki tatu mkiwaacha mjengoni hivi ndio inavyokuwa......

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781


51e5cf32ab1130b6edda6d3421ea387d
 
Mnnnnh. Afu unamkuta mtoto ana temp unakimbia kumcheki malaria.
 
Mnnnnh. Afu unamkuta mtoto ana temp unakimbia kumcheki malaria.

Naanza kupata mashaka na upendo wa akina dada kwa watoto wetu. Huenda hua wanajifanya tu kwamba wanawapenda pale tunapokuwepo ila kuna vitu vingi sana vibaya vinakua vinaendelea tusipokuwepo. Ni kweli hapo ukifika lazima mtoto akadungwe sindano bure mbaya zaidi mdada hata hasemi kama mtoto alianguka.

Hii hupungua watoto wanapoanza kujua kuongea kwa sababu huanza kutoa taarifa ya jinsi wanavyonyanyaswa!
 
Kama huna amani kukaa na dada wa kazi, USIKAE NAE KABISAAAA!
Labda kama hukithamini sana unachomuachia.
 
Karucee kwani vipi me cjaelewa concept hapo!

Kwa mtoto alivyoanguka lazima kichwa kiwe cha moto.

Ukirudi home hutaambiwa.

So utakimbia spitali akapimwe malaria ukijua ndo inaleta joto.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtoto alivyoanguka lazima kichwa kiwe cha moto.

Ukirudi home hutaambiwa.

So utakimbia spitali akapimwe malaria ukijua ndo inaleta joto.

Now i got the concept ckujua km ni movie nilikuwa simuoni mtoto alivyoanguka....
 
Naanza kupata mashaka na upendo wa akina dada kwa watoto wetu. Huenda hua wanajifanya tu kwamba wanawapenda pale tunapokuwepo ila kuna vitu vingi sana vibaya vinakua vinaendelea tusipokuwepo. Ni kweli hapo ukifika lazima mtoto akadungwe sindano bure mbaya zaidi mdada hata hasemi kama mtoto alianguka.

Hii hupungua watoto wanapoanza kujua kuongea kwa sababu huanza kutoa taarifa ya jinsi wanavyonyanyaswa!

Tukeshe tukiomba.

Ni sheedah.
 
House girl wangu huyo...hiyo picha niliipata kutoka cctv niloitegesha room kwangu...niliificha lwenye simu ili wife asiione asije akamfuta kazi wakati mimi napona hapo....alafu nikose na ujiko wa kuwa na beki tatu mzungu ,maana hapa mtaani kwetu mitaa ya masaki nipo peke yangu mwenye beki tatu mzungu...nasikitika kwa hiyo video kuvuja kwa kweli..daaah
 
Back
Top Bottom