kuna baba mmoja alikuwa jirani yetu, hajawahi kuacha kutembea na hg hata mmoja aliyewahi kuwa kwao, awe mzuri au mbaya. cha kushangaza ana mke bomba sana
sijajua mnashambulia Mkusa kwanini,amehisi kuna tatizo na ameonyesha nia ya kulitatua ,wengi huwa tunajikuta kwenye vishawishi vya aina hii na bado hatusemi tunabaki kimya mpaka hali inakuwa out of hand . Mkusa hebu ongea na wife tumia akili ya kiume lakini usimwambie kama unamtamani huyo binti tengeneza zengwe lolote huyo msichana aondoke hapo home!kwanza kabisa mungu hawezi kukusaidia sababu tamaa imeshakuzidi sana,utakachoweza kupata ni dhambi tu kwa sababu njia pekee itakayomwokoa huyo hause girl ni kufukuzwa tu na dhambi ndio inaanzia hapa kwa sababu tamaa zako zinaikatisha ajira na matumani ya binti na wote wanaomtegemea.wapo watu wanaishi na mahause girl wazuri kama malaika na hawayumbi sababu wana misimamo na hawana tamaa za kipuuzi.mungu mnusuru hause girl wa watu na fataki.
I have had nice an beautiful House Girls in my House, na nimekuwa very fair Kwao; I just imagine that hawakupata tu opportunity Ambayo Mimi nimepata, hii Mungu Kanipa na Si mbaya tukishare nao.
Kwanza nawalipa hela Ambayo najua wanaweza kusave, nina mke na mtoto mmoja, Si Nyumba complex, namlipa Dada 70,000 hii najua anasaidia Kwao na kusave, gharama nyingine Kama saloon, etc anamwambia mke wangu anapata.
Jambo lingine Sasa ambalo Ni kujibu hoja yako, Jamani kuweni na adabu; why would you think of her Kimapenzi, assume tu Ni Kama mdogo wako na umepewa dhamana ya kumlea, it is more into a mindset than udhaifu.
Kama anafanya Kazi vizuri na katulia, do the following;
- assume Ni mdogo wako unaishi naye.
- assume Huyu mdogo wako Hana maisha bila Wewe kumlea na kumsaidia afanikiwe.
- assume Naye kuna Siku anataka aolewe awe na Nyumba Yake Aishi kwa Amani.
- you have to know that when involved into sex, there are valid feelings of love created, utamsaidiaje?
If you think well of the above you will be fine,
House gals Ni wadogo zetu, Hemu tutafautishe Akili zetu na za Punda Jamani.
mukulu hii inatufundisha kwamba bazazi ni bazazi tu na aache tamaa basi na visingizio vya kibwege.kuna baba mmoja alikuwa jirani yetu, hajawahi kuacha kutembea na hg hata mmoja aliyewahi kuwa kwao, awe mzuri au mbaya. cha kushangaza ana mke bomba sana
hapo kwenye RED paliwahi kunicost big time, sitarudia tena. either utasuka kwa hela yako au kata nywele.
kuna binti nilikuwa namfanyia hivyo, cha ajabu, leo ataniambia anaenda kusuka, sh. 10,000 atakaa na nywele siku 3 anafumua, wakati mimi mtoaji wa hela nikisuka nakaa nazo wiki 2. nilijaribu kuongea naye ilishindikana, nikaamua kumwongeza 10,000 kwenye mshahara wake kwa ajili ya salon. baada ya miezi mitatu akarudi kanyoa
FP umenikumbusha hasira yangu ya zamani hiyo blue hiyo agggrrrrrrrrrrr yaani alikuwa anasuka hata leo kesho jioni ukirudi unakuta anafumua unauliza kulikoni??? Eti aaahhh zimeanza kuniwasha unashangaa siku moja??? Hiyo red FP acha kabisa namaliza nazo hata mwezi kama nimesuka rasta halafu aaaaaaaggggggggggrrrrrrrrrrrr
Acha ubainifu... unakaa na minywele hadi inanuka!!!
Ni Mwezi wa 4 sasa tangu huyu Binti atu join hapa kwetu, mwanzoni siku note but as days goes on, Huyu Bint anazid ku change na kutamanisha, sio mimi tu bali hata washakj wanaonitembelea hawaachi kumwaga comments zao.
Nina kama week sasa nafunga na kuomba Mungu aniepushe na shetani Muovu ambaye kimsingi ameshaanza kut send Bad signal kwenye Mind yangu juu ya huyu Bint, nitaendelea kufunga na Kumuomba Mungu aniepushe na Adui Muovu shetani, ikishindikana zaid nia apply ile wazungu wanasema "He who avoids tempatation avoids Sin" kwa kumtengenezea Zengwe kwa wife ili arudi kwao ukichukulia ni last week tu tumetoka kupima HIV na wife na wote tuko -Ve na sitak kabisaaaa kuwa source ya Maanagamizi ya Familia yangu.
Naomba Mniombee katika kipindi hiki
PS:
Kwa wale mnaotaka ku Employ wadada wa kazi, nashauri muwape kitu kama a "Grace period" ya kama 6 Months na inabid hii iwe agreed before, after six Month ukianza kupata mawazo ya Kishetani mwambie kuwa haja Qualify na umrudishe kwao kabla Hujamtafuna na kuvuruga Familia.
Wasalaam
kwabwina kamwalikamwali za lihengu!
wangana wa lelu hawa na wasikana wa kazi mbona kazi!wengo !
Ni Mwezi wa 4 sasa tangu huyu Binti atu join hapa kwetu, mwanzoni siku note but as days goes on, Huyu Bint anazid ku change na kutamanisha, sio mimi tu bali hata washakj wanaonitembelea hawaachi kumwaga comments zao.
Nina kama week sasa nafunga na kuomba Mungu aniepushe na shetani Muovu ambaye kimsingi ameshaanza kut send Bad signal kwenye Mind yangu juu ya huyu Bint, nitaendelea kufunga na Kumuomba Mungu aniepushe na Adui Muovu shetani, ikishindikana zaid nia apply ile wazungu wanasema "He who avoids tempatation avoids Sin" kwa kumtengenezea Zengwe kwa wife ili arudi kwao ukichukulia ni last week tu tumetoka kupima HIV na wife na wote tuko -Ve na sitak kabisaaaa kuwa source ya Maanagamizi ya Familia yangu.
Naomba Mniombee katika kipindi hiki
PS:
Kwa wale mnaotaka ku Employ wadada wa kazi, nashauri muwape kitu kama a "Grace period" ya kama 6 Months na inabid hii iwe agreed before, after six Month ukianza kupata mawazo ya Kishetani mwambie kuwa haja Qualify na umrudishe kwao kabla Hujamtafuna na kuvuruga Familia.
Wasalaam
yeye si alikuwa anajua nikisema kusuka tu napata hela. siku aliyoniudhi sana alisuka uzi, ndogo kabisa. alitokea mwenyewe. hapo kalipa 20,000. nikajua hiyo ngoma labda 2 months.FP umenikumbusha hasira yangu ya zamani hiyo blue hiyo agggrrrrrrrrrrr yaani alikuwa anasuka hata leo kesho jioni ukirudi unakuta anafumua unauliza kulikoni??? Eti aaahhh zimeanza kuniwasha unashangaa siku moja??? Hiyo red FP acha kabisa namaliza nazo hata mwezi kama nimesuka rasta halafu aaaaaaaggggggggggrrrrrrrrrrrr
Ndo maana nafunga na kuomba na ikibid natengeneza Zengwe arud kwao
Kwan kosa langu Mungu kuniumba mzuri jamani?Kwa hiyo nirudi kijijini kisa nimenawili.Kweli wachawi wa maisha wapo wengi kwa mantiki hiyo mbele yako asipite binti mzuri tayari na Je hao wa njiani,maofisini na pote unapopita unafungaga na kusali.Mi nakushauri acha kumchosha Mungu wako na tumbo lako na kisha tafsiri kichwani mwako kuwa huyo ni msaidizi wako na kamwe hawezi kuwa mpenzi wako pia msaidie uzuri wake akapate kuutunza ili afikie malengo yake ikiwemo kupata Mume bora ili siku moja akushukuru kwa maisha uliyompa na hapo ndipo utapata baraka za kweli sio kufunga ovyo kisa binti kawa mzuri.MAOMBI YAKO YANAPINGANA NA KAZI YA MUNGU YA KUIMPROVE MUONEKANO WA HUYO BINTI.
Kutengeneza zengwe ni dhambi maana hilo zengwe lazima lihusishe UONGO! Yaani unafunga kukwepa uzinzi ila kama ikishindikana UNASHUHUDIA UONGO ili kuepuka dhambi? Hivi Dini gani hiyo inayofundisha kutenda dhambi moja ili kuepuka dhambi nyingine? Mi nakuambia LIVE, hapo hata hayo maombi yako hayavuki mawingu, unapoteza muda bure. Heri umtafune binti wa watu ijulikane una dhambi ya uzinzi kuliko umkejeli Mungu na vimaombi vyako visivyokuwa na dhamira ya dhati halafu ukaishia kumshuhudia mambo ya UONGO binti wa watu! Too low for a committed worshipper!Ndo maana nafunga na kuomba na ikibid natengeneza Zengwe arud kwao
yeye si alikuwa anajua nikisema kusuka tu napata hela. siku aliyoniudhi sana alisuka uzi, ndogo kabisa. alitokea mwenyewe. hapo kalipa 20,000. nikajua hiyo ngoma labda 2 months.
siku ya pili kafumua, vipi? anajibu kwa vizuri tu, zimenibore, sijui ndo alienda kwa bf akamwambia azifumue...................
Hahahaaaa! Itakuwa LIMBWATA LIMEKUKOLEA!!!!! Chezea kulisha chakula kilichopikwa na MAJI YA KUTAWAZ*A!!!!!Hapo lazima uisome namba, KILA SIKU UNAMUONA BOMBAAAA kumbe CHEMISTRY YA BABU HIYO!!! Hakuja mjini kushangaa MAGHOROFA babu wee. MJINI MIPANGO ATIII! Lazima umtupie WIFE virago kabla msimu wa ndoa kuisha @ Kocha wa Yanga!
kama bado unampa hela ya kusuka, jiandae kuendelea kushangaa. mimi nimefanyiwa mara kwa mara, mpaka nikasema sasa basi, nikamwingizia kenye mshahara. akaona hainogi tena, akaamua kukata kabisa nywele, halafu anawaambia wenzake hawezi kuchezea hela yake kwa ajili ya nywele........................ hela yangu ndo ilikuwa ya mchezo, lolFP acha kabisa mie nilishangaa na kukasirika siku ile amesuka nywele za kimasai siku tatu kakaa nazo siku mbili akafumua kha?? Nilishangaa na kushangaa acha tu....................