Beki 3 Wangu

Mkuu mi natafuta Dada wa kazi, nimeangaika sana naomba Plz unipe huyo msichana
 
Mkuu, sijaona Button ya Thanks, otherwise ningekugongea.
Haya mambo yao sana Mkuu, so ni jukumu letu sote kuyazungumzia na kuyakemea sana, nashukuru sana kwa ku ni note,
Naona akina mamajack povu lilishaanza kuwatoka, na sijui ni kwa nini
sio kutokwa povu!ila ninakushangaa mbaba mzima tena mwenye mke nyimbani kumtamani yaya wake mpaka kutuletea tujue hapa jamvini!najiuliza,huko ofisini unakoshinda inakuwaje??njiani,baa?
 
Ninashangaa baadhi ya watu humu jamvini wanamshambulia mleta mada kama ni jambo jipya, wakati haya mambo yapo kila siku kwenye jamii.

Tofauti pekee ni namna gani mtu anaepuka au kushinda tamaa hizi na sio kumdhania mtu ni mpenda ngono.
 
I have had nice an beautiful House Girls in my House, na nimekuwa very fair Kwao; I just imagine that hawakupata tu opportunity Ambayo Mimi nimepata, hii Mungu Kanipa na Si mbaya tukishare nao.

Kwanza nawalipa hela Ambayo najua wanaweza kusave, nina mke na mtoto mmoja, Si Nyumba complex, namlipa Dada 70,000 hii najua anasaidia Kwao na kusave, gharama nyingine Kama saloon, etc anamwambia mke wangu anapata.

Jambo lingine Sasa ambalo Ni kujibu hoja yako, Jamani kuweni na adabu; why would you think of her Kimapenzi, assume tu Ni Kama mdogo wako na umepewa dhamana ya kumlea, it is more into a mindset than udhaifu.

Kama anafanya Kazi vizuri na katulia, do the following;

- assume Ni mdogo wako unaishi naye.
- assume Huyu mdogo wako Hana maisha bila Wewe kumlea na kumsaidia afanikiwe.
- assume Naye kuna Siku anataka aolewe awe na Nyumba Yake Aishi kwa Amani.
- you have to know that when involved into sex, there are valid feelings of love created, utamsaidiaje?

If you think well of the above you will be fine,

House gals Ni wadogo zetu, Hemu tutafautishe Akili zetu na za Punda Jamani.



 
yaani ulale na hausgal wetu!???? :frusty: :frusty: :frusty: :frusty:
 
Kama mwanaume anaweza kupita barabarani na akaona mwanamke ambaye anamvutia kimapenzi, basi hawezi kushindwa kuvutiwa na house girl wake.

Namna bora ya kushinda hali hii ni kuutambua udhaifu wako, kuepuka mawazo hayo na kupambana kuishinda tamaa.
 
Mfikirie kama mdogo wako au mwanao na uweke father-daughter relationship na si vinginevyo. Kuwa mtu aliefanikiwa katika ulimwengu si tu kuwa na pesa nyingi au kushinda vita bali pia kuweza kuheshimu makubaliano huru, kuheshimu mipaka ya kijamii na kuweza kutawala vitu vilivyo katika uwezo wako kama mihemko ya mwili wako.
 
Pamoja na kwamba haya mambo yanaokea sana,

Sijawahi kuelewa kwamba inakuwaje kuwaje mtu unaanza kumtamani msichana wa kazi....

Kama huwezi kuswitch off hiyo tamaa basi huko mbele ni hatari...hata wakija wabaya utawatamani tu!
kuna baba mmoja alikuwa jirani yetu, hajawahi kuacha kutembea na hg hata mmoja aliyewahi kuwa kwao, awe mzuri au mbaya. cha kushangaza ana mke bomba sana
 

:biggrin1:
 
hapo kwenye RED paliwahi kunicost big time, sitarudia tena. either utasuka kwa hela yako au kata nywele.
kuna binti nilikuwa namfanyia hivyo, cha ajabu, leo ataniambia anaenda kusuka, sh. 10,000 atakaa na nywele siku 3 anafumua, wakati mimi mtoaji wa hela nikisuka nakaa nazo wiki 2. nilijaribu kuongea naye ilishindikana, nikaamua kumwongeza 10,000 kwenye mshahara wake kwa ajili ya salon. baada ya miezi mitatu akarudi kanyoa
 
kwanza kabisa mungu hawezi kukusaidia sababu tamaa imeshakuzidi sana,utakachoweza kupata ni dhambi tu kwa sababu njia pekee itakayomwokoa huyo hause girl ni kufukuzwa tu na dhambi ndio inaanzia hapa kwa sababu tamaa zako zinaikatisha ajira na matumani ya binti na wote wanaomtegemea.wapo watu wanaishi na mahause girl wazuri kama malaika na hawayumbi sababu wana misimamo na hawana tamaa za kipuuzi.mungu mnusuru hause girl wa watu na fataki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…