Mkusa
JF-Expert Member
- Dec 14, 2010
- 548
- 209
Ni Mwezi wa 4 sasa tangu huyu Binti atu join hapa kwetu, mwanzoni siku note but as days goes on, Huyu Bint anazid ku change na kutamanisha, sio mimi tu bali hata washakj wanaonitembelea hawaachi kumwaga comments zao.
Nina kama week sasa nafunga na kuomba Mungu aniepushe na shetani Muovu ambaye kimsingi ameshaanza kut send Bad signal kwenye Mind yangu juu ya huyu Bint, nitaendelea kufunga na Kumuomba Mungu aniepushe na Adui Muovu shetani, ikishindikana zaid nia apply ile wazungu wanasema "He who avoids tempatation avoids Sin" kwa kumtengenezea Zengwe kwa wife ili arudi kwao ukichukulia ni last week tu tumetoka kupima HIV na wife na wote tuko -Ve na sitak kabisaaaa kuwa source ya Maanagamizi ya Familia yangu.
Naomba Mniombee katika kipindi hiki
PS:
Kwa wale mnaotaka ku Employ wadada wa kazi, nashauri muwape kitu kama a "Grace period" ya kama 6 Months na inabid hii iwe agreed before, after six Month ukianza kupata mawazo ya Kishetani mwambie kuwa haja Qualify na umrudishe kwao kabla Hujamtafuna na kuvuruga Familia.
Wasalaam