Being english medium teacher!!!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Wana JF napenda kuuliza wapi au chuo gani watu huenda kusomea ualimu wa english medium primary school?wizara huchagua wanafunzi waliohitimu form 4 with div IV kwenda kwenye vyuo mbalimbali ambao mwisho wake hupata certificate ambapo wanauwezo wa kufundisha shule za kina KANUMBA.na waliomaliza form VI failue huenda kupata diploma in education hufundisha sekondari.Je hawa wa english medium primary hutokea wapi?
 
Back
Top Bottom