Being a wife material sucks

Utajihitaje hivyo wakati haujajaribu hayo unamuachia kume ndio anayeyaona yapi akuite hivyo kuna mengi katika kuwa mke mengine ya kawaifa ila mengine yanazidi mengine.
 
charuka lakini jitayarishe kuona zaidi ya dushelele mia kabla ya kuitwa mcharuko, zenye kofia, kipara, roundabout, ring road, mgongo wa jogoo, vibamia, kichwa cha nyoka, na uwe unaweza kumiliki matundu matatu, siyo moja.... karibu
 
Wife material ni tabia ya mtu na huwa mtu so huwezi force.Na hata ukiforce itafika wakati utachoka.Kama mtu ni wife material si rahisi abadilike coz ndo tabia yake.Yawezekana wewe ulikuwa unaforce kuwa wife material sasa umechoka
 
Hahahaha haya ntaanza masafari basi my kaka
 
Last edited by a moderator:

Naomba nauli kaka mito
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha haya ntaanza masafari basi my kaka

Naomba nauli kaka mito

Khaaa we sista atoto ndo na kibomu kabisaa loh

Ila kweli tembeani bana muonekane kwa prospectivie hubbies. Tena tembea kimkakati kabisa, kama una-wish kuoelewa na mjeda, tembelea ndg, jamaa na marafiki zako wa ujedani, kama unaplan awe bank teller, mwalimu sijui bandari, na wewe tembelea maeneo hayo hayo. Ujue wanaume tukiamua seriously kuoa tunaanzaga kuangalia within, tukikosa nasi tunatembea tembea vile vile, mara leo nikasali masaki (hapo nawinda mtoto wa ushuwani), wiki ijayo nikasali wanakosali sana wanafunzi (hapo nalenga msomi), likizo naenda kwa rafiki yangu aishie Njiro Arusha, hivo yaani ilimradi kuongeza wigo wa kupata wa ndoto zangu.

Sasa we dadangu kila siku uko pale pale, unaishi na watu wale wale, unaangalia watu wale wale, yaani inafikia hata wale ulikuwa unawaona wabaya sasa wamekuwa wazuri, coz you have no more options, lazima mwisho wa siku uchague humo humo mzuri ktk wabaya, ahaaaa akyanani!! Kimbembe siku ukikutana kwenye event na mashosti wako kila mtu na wake, unabaki kujilaumu na kuona aibu wenzio walivyochukua vyuma tupu, kumbe sababu mwenyewe ulijiwekea fensi ukajifungia kwenye box, aahaaaa unalo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Dah nimeisoma post yako kimakini,nimegundua kujiona ndiko kunakusumbua,na kuna mda una feki kuonekana machoni kwa watu ila unashindwa na unarudia hali ile ile ndo maana umeamua kuandika hivyo.hamna mwaname anaye taka mke kama wewe
In short endelea kufake kutojiona bora maana in long run you fake it you make it!.
 

Kaka umeamua kushuka ese....!! Kweli kuna kitu nimekielewa hapo ukitembea ukikutana na watu wapya unatanua wigo wa fursa...!!
 
Last edited by a moderator:
Yani siku unanipiga tu midongo Ya kweli teh. On a serious note ushauri wako unafanyiwa kazi. Ni raha kuwa na kaka kama wewe, basi tu
 
Last edited by a moderator:

Thank you dear.. Thanks..
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa mi nimetoa ushauri wa jumla tu mkuu, huoni nimewamention dada zangu waje wanufaike nao

Sasa Heaven Sent si atazunguka nchi nzima kama vile anagombea urais...

Sipati picha atoto atavyoanza kutembelea ndugu kilakona
 
Last edited by a moderator:

Good point but kumbuka hata sisi pia tunaweza kuwafanya hivyo kama mkiwa na sisi mnatutreat vyema.. Wanasema when wife is happy and everything else is happy .. Siwatetei hao wanawake wasiojijua na kufanya men ATM natetea wale walio tayari kuwa wake wema na they are good wife.. Na hii ni kwa sababu nimeyaona kwa macho yangu mawili.. Mwanammke katulia ila mwanamme bado anawasiliana na Ex wake ambaye alimficha ukweli kuwa ana MTU yuko nae .. Na akija kwa mwanammke aliye nae anamuambia vingine kuwa alishaachana nae.. Basi ilimradi tuu .. Pamoja na yote Dada WA watu kwa wisdom anamuambia ukweli please honey stop kuwasiliana na huyo Ex wako because ananitoa amani yangu na ninakosa furaha moyoni.. Mwanamme anaahidi kuwa ameshaacha kumbe bado.. Sasa hebu niambie hapo amani itapatikana wapi? Tell me my Kaka.. Please tusi base one side only.. It has to be both sides.. To be able to bring Love, Peace and Joy.. Mungu atusaidie maana wengi hatujui what the really meaning ya ndoa.. Thanks..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…