beiinspot jana walionesha epl mechi but zilikuwa ktk channel moja tu ya 9HD hata leo wanaonesha kupitia channel hiyo.
Unapata kupitia satellite gani mkuu? Mimi na ipata kupitia Badr6 ilio po digrii 26e.Halo sipati za HD
bro badri unaipata upo maeneo yapi na unatumia rcv ipi,dish size gan na lnb ipi
Unapata kupitia satellite gani mkuu? Mimi na ipata kupitia Badr6 ilio po digrii 26e.Halo sipati za HD
beiinspot jana walionesha epl mechi but zilikuwa ktk channel moja tu ya 9HD hata leo wanaonesha kupitia channel hiyo.
Wadau wa jukwaa hili naomba mnisaidie. Hawa jamaa wa beinsport jana hawakuonyesha baclays priemium league je ndiyo wamekimbia kama wala jamaa wa gsport?
Kwa sasa kwenye badri hakuna bein HD zimebaki SD tubro badri unaipata upo maeneo yapi na unatumia rcv ipi,dish size gan na lnb ipi
Kwa sasa kwenye badri hakuna bein HD zimebaki SD tu
Nipo Dom.LNB ndogo nyeusi cjui inaitwaje Receiver ya kwao wenyewe ya zama I Aljazeera.
beiinspot jana walionesha epl mechi but zilikuwa ktk channel moja tu ya 9HD hata leo wanaonesha kupitia channel hiyo.
nipo dar, natumia dis la 8ft C band. napata SD channels tu. Natafuta mtu anayepata HD channels kwa hapa darMkuu wewe unatumia dish size gani? Na upo maeneo gani? Je HD unazipata?
nipo dar, natumia dis la 8ft C band. napata SD channels tu. Natafuta mtu anayepata HD channels kwa hapa dar
Kama utatumia DQCAM na receiver yake utapata zote
Pia C Band sio LNB nzuri jaribu ultra inverto black na Fuji stargold
@njuwa wamavoko
Ongeza hii shule naona badi hujalielewa vizuri somo la satellite na vifaa vyake.