Beiby Nasty I wish you a Speedy Recovery

Beiby Nasty I wish you a Speedy Recovery

Joined
Jul 27, 2011
Posts
29
Reaction score
8
You can get easy ; New job
New car
New boyfriend
New girlfriend
But you can't get anything without " GOOD HEALTH!"
As the saying is "HEALTH is WEALTH"
So hope you will get well soon .
 
Mungu wetu ni mwema ata kuponya mapema!
 
My Wife mara uliponambia uko ndivyo sivyo, mi nilikua mbali pembezoni mwa jiji , hapakua na mtandao !
That's whay nikam'call you're shem akuletee sympathy on my behalf !
So far vipi afya ikoje durin this time ?
 
my hubby tanx for letting shem kutakecare nafarijika mim

Pia jaman mzid na maombi eeh ndgu zangu
 
pole mpnz, nini tena jamani. au ndo woga wa kurudi rock ct? (jokes) Mungu akuponye mamito!
 
GTW Babe nasty. Ila hapa sijui mwisho wa siku itakuwaje ngoja nikacheki sredi moja hivi kule MMU. hommie Asprin hebu angalia auamua hii makitu?
 
Last edited by a moderator:
GTW Babe nasty. Ila hapa sijui mwisho wa siku itakuwaje ngoja nikacheki sredi moja hivi kule MMU. hommie Asprin hebu angalia auamua hii makitu?
Sawa hommie, niamue kwa katiba ya chama au uzoefu binafsi.
 
Katiba hapa hommie haita apply, tumia uzoefu hapa umeona nini?
Kw uzoefu tu ni kuwa beibe nasty atakuwa tayari. Si umeona lokesheni ya mwanzisha sredi?? Afu siyo legend wa ChitChat kiviiiile.... Stuka hommie....THINK!! Mkakati tuhamishie Blue G na charminglady.

Ukiona manyoya?
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu nini tena?
Dadao sina taarifa na wala Shemeji hajanieleza chochote.
BTW pole sana,ila kama ni ujio unauleta Duniani,hongera sana.
 
pole ma aunt wish u a speed recovery ntakuombea badaye ntakuletea matunda luv u aunt
 
Get well soon, need you here love!
 
Kw uzoefu tu ni kuwa beibe nasty atakuwa tayari. Si umeona lokesheni ya mwanzisha sredi?? Afu siyo legend wa ChitChat kiviiiile.... Stuka hommie....THINK!! Mkakati tuhamishie Blue G na charminglady.

Ukiona manyoya?

Ujue ndo ameshaliwa ivo......na ushahidi unahitaji tena Asprin?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom