Bei za ulalo Moro

Bei za ulalo Moro

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102
IMG_2193.JPG


Wadau mkitaka kwenda kula bata Moro msihangaike lala Moro Guest namba za simu zipo hapo kwa huduma safi na usalama zaidi.
 
MMMh umenikumbusha Morogoro kuna vyumba vya 19,500, 20, 500/ - yaani kila bei lazima iishie na 500 sijui zile ndio chajuu cha mtunza gest?
 
imeniacha hoi hapo chapu chapa hairuhusiwi, sipati picha hiyo inakuaje
 
Acha funguo "Accounter". Accounter ndio nini sijui.

Tiba
 
Lugha gongana kaaazi kwelikweli!!!!:help:
 
aisee hata huduma za hiyo guest lazima ziwe mbofumbofu km hilo tangazo
 
Nimezipenda hizi:-
Chapuchapu hairuhusiwi-Sasa ole wako uende kasi,ukimaliza ulale humo humo kwa amri ya utawara,Tiba hembu twende huku
Singer-chumba cha waimbaji,kama kina Diamond ndio wanafikia,kuna music system,Guiters,Keyboard,kazi kwenu undeground
Accounter - Hm hapa
Utawara - cha marwa

Hii bei inanitiwa wasiwasi,isijekuwa zile Guest za Buguruni,yaani unalipia rahisi halafu chumba kimoja kimegeuzwa ukumbi wa Sinema watu,mnakuwa mmetegeshewa Kamera huku upande wa pili watu wakilipia kuona Sinema kwa ubwete jinsi mnavofaidi Self Chumba
 
Sasa kama chapu chapu hairuhusiwi, mbona chini yake ameweka sh. ........? Hii inaonyesha kwamba muda wowote hiyo chapu chapu itawekewa kiwango cha bei!!!
 
IMG_2193.JPG


Wadau mkitaka kwenda kula bata Moro msihangaike lala Moro Guest namba za simu zipo hapo kwa huduma safi na usalama zaidi.

aisee kumbe rahisi hivi ya 20 elfu unaenda nakurudi hamna hata gharama
 
nimechekaje jamani!
..kwani kiswahili kisingeeleweka?
 
Back
Top Bottom