Bei za mafuta zimepanda tena, hii inaashiria kuendelea kuongezeka kwa gharama za maisha
Pengine kwenye soko la dunia bei imeongezeka Ila serikali isingeongeza kodi kwenye mafuta kwenye hii bajeti mpya basi Bei zingekuwa kidogo afadhali.
Sikujua kwa nini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta ikiwa wanajua uchumi uliharibiwa na jnaga la corona. View attachment 1878501View attachment 1878502View attachment 1878503View attachment 1878504
Dr wa uchumi aliambiwa hili kuwa bei zitapanda baada ya mafuta kupanda bei kwenye soko la dunia jibu alilitoa, hata mimi mwenye degree ya uchumi ya kuunga kwa super glue nilijua jamaa hajui anachoongea.
Aisee hii nchi watu wa madegree ambayo hayana maana.