bei mpya za mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya za mafuta. Bei ya petroli imeshuka kwa Sh 102 kwa lita, dizeli ikishuka kwa Sh 101 kwa lita

    Katika kutekeleza majukumu kwa mujibu wa Sheria, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kufuatilia mwenendo wa bei za mafuta katika soko la dunia ambapo bei hizo zimekuwa na mabadiliko ya mara kwa mara kutokana na vita inayoendelea eneo la Mashariki ya Kati. Katika...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya za Mafuta kwa Mwezi June 2026

    Hali ni mbaya kwa wamiliki wa Diesel. =========== Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Juni 2026 yameathiriwa kwa kiasi kikubwa na mzozo unaoendelea kati ya Marekani, Israel na Iran ulioanza tarehe 28 Februari 2026. Mashambulizi yaliyofanyika kwenye visima vya mafuta, maghala ya...
Back
Top Bottom