Bei za gesi kupanda tar 1-7-2015

Bei za gesi kupanda tar 1-7-2015

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,875
Oryx gesi

Kg 15-52,000
Kg6-22,000

mihan
Kg 15=51'000

kg 6-21,000

Wahi haraka ukabadilishe kabla haijapanda
 
Mpwa wahi haraka naogopa kukupiga hiyo bei ndio kazizetu..inauma sana lakini watotolazima waende choo
 
Hapana mkuu huwa na sambaza ndio nimepokea.bei mda huu
 
Imepanda kutoka ngapi ? Na kwanini ipande au Mtwara wanatumia Dollar na Shilingi imeshuka thamani ?
 
Kg 15 tsh 52000 yaani unataka kusema inadouble au ni bei ya kununua mtungi na gas na si ya kubadilisha hebu funguka
 
boanerge iyo

e
I

a
k
u
b
d
I
I
sha
 
Oryx gesi

Kg 15-52,000
Kg6-22,000

mihan
Kg 15,000

kg 6-21,000

Wahi haraka ukabadilishe kabla haijapanda

Mkuu hiyo mihan kilo 15,000 mbona kama sjakuelewa ndugu yetu.

Don't act like a kid sometimes you must be serious inapokuja serious issue kama hii jaribu kuweka utoto pembeni ndugu.
 
Mkuu hiyo mihan kilo 15,000 mbona kama sjakuelewa ndugu yetu.

Don't act like a kid sometimes you must be serious inapokuja serious issue kama hii jaribu kuweka utoto pembeni ndugu.

Kilo15 mtungi na kilo15 gesi jumla 30.
 
Acha ipande misitu iteketee si tumeichagua ccm wenyewe .....
Kodi zingeondolewa kwenye gesi matumizi ya mkaa yagepungua sana na jangwa lingesogea mbali kidogo
 
Kwa nini kuwe na tarehe maalum ya kupandisha bei ya gesi kwani na yenyewe inauzwa na shirika la umma kama tanesco inavyouza umeme? Gesi si kila kampuni na utaratibu wake au kuna bei elekezi kama nauli za magari ya abiria(
 
Back
Top Bottom