Bei ya vyuma hivi

Bei ya vyuma hivi

for life

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
3,396
Reaction score
4,447
Wakuu kwema nilikuwa nahitaji kujua bei ya kiwandani au jumla ya hvyoo vifaa hapo chini nilikuwa nataka kufungua kihardware kwa vitu vifuatavyo

Square Pipe 1.5 inch 1 inch pamoja na robo tatu

Flat bar inch 1

Mashit mm 1.2

Natanguliza shukran zangu za dhati
 
Wakuu msaada wenu ushauri pia unapokelewa
 
Inategemea na sehem flat bar 8000, shit 58k square pipe 11k kwa 15k
 
Inategemea na sehem flat bar 8000, shit 58k square pipe 11k kwa 15k
Nilikuwa nataka bei ya kiwandani au ya jumla hiyo bei ulo itaja inakuwa juu kidogo hata ya zile hardware za mwanza nilizoulizia
 
Back
Top Bottom