Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,413
- 36,573
Hayupo sasa watu mu enjoy sasa. Kelele hazitakiwi tena saiv
Nafahamu kwamba huu mchakato wa kupandisha gharama za vifurushi ulianza tangia zamani, nafahamu pia moja ya mbinu za kisiasa ni kutengeneza tatizo na kulitatua mwenyewe hata kama ulikuwepo kwenye jopo la waliofanya maamuzi kufikia kupatikana kwa tatizo hilo.
Serikali ina kiongozi mpya ambaye pamoja na yote lazima aonyeshe amesimama upande wa watu wengi wanaolalamika kwa upandaji holela wa vifurushi ambao sio tuu utainyima serikali mapato bali utarudisha watu nyuma kutoka katika matumizi ya TEHAMA , kwa maana nyingine atajitenga na maamuzi ya kupandisha vifurushi.
Hivyo natabiri kuwa kuna vichwa vinaenda kuliwa pale TCRA na Wizara ya mawasiliano, maboss wote wanaohusika na haya maamuzi wajiandae, hii pasaka itakuwa pasaka yao ya mwisho kama maboss au viongozi wa sehemu husika..
Kama ni wajanja wachukue hatua za mapema sana kuonyesha wamesimama upande wa watu ili waokoe nafasi zao za kisiasa, kwani atakayeliwa kichwa hapa ndio atakuwa amekufa kisiasa na kiutumishi.
Nini hakikuwa sawa ?Haikuwa sawa kupost..... "Na bado sana"
Acha kulia lia sasa.
Hapo ndio tunamiss mzee yaani jiwe likitupwa SAA 5 asubuhi SAA 7mchana tushapata kelele mzee kwa hili kwakweli tutamkumbuka sana...huyu ndunguruuru labda walimkatia mshiko sio bure huwezi kukubali kitu cha kukandamiza wananchi kirahisi rahisi hivyo..😂😂😂Magu angekuwepo ungesikia mpk saiv hao ma Director wa haya makampuni wapo central kwa mahojiano.
Jamaa alikua hataki mbwembwe oooh mara sijui mazungumzo mezani tupange tujadiliane kwanza.
Huu ubishi wa haya makampuni usingekuwepo
Yule jamaa alikua hataki utani utani
Wameambiwa warudishe vifurushi kama ilivyokua mwanzo mpk saiv bado yani,wanatunyonyaa kwanza,wanabahati sana mzee baba hayupo wangenyooka mpk saiv
Napenda sana kiongozi mwenye misimamo,sio wananchi wanalia kiongozi nae analia. Cjui tukimbilie wapi sasa
Like seriously
Wewe unadhani ni maamuzi ya hayo makampuni ndio yameamua hivyo?,Serikali yako kandamizi tena ya huyo marehemu unayemsifia sifia,lengo Lao mpunguze kuwakosoa mitandaoni,kodi ikiongezwa siku zote mtumiaji wa mwisho ndio anayeumia idiot..
Hakuna lolote, ikumbukwe tangazo la mabadikiko ya virushi lilikuwa ni agizo la waziri mwenye dhamana, maanayake alipewa maagizo toka juu, na sababu kubwa nikuona watu hawatunii Social media, hilo lipo wazi, kitu ambacho mama hawezi kukubali ukandamizahi wa hivi maana hakuwa moja wa maamzi ya ukandamizaji huu, na sababu aliyosemwa na waziri ni kwamba, watu wanatumia WhatsApp kupigasimu njee ya nchi, hali inayoikosesha serikali mapato ndipo wakaja na mbadala kapunguza vifurushi. Na tunashukuru kwakuwa serikari ya sasa ni ya wanchi na nisikivu ufumbuzi wa hili utapatikana haraka, mama hoyee.Magu angekuwepo ungesikia mpk saiv hao ma Director wa haya makampuni wapo central kwa mahojiano.
Jamaa alikua hataki mbwembwe oooh mara sijui mazungumzo mezani tupange tujadiliane kwanza.
Huu ubishi wa haya makampuni usingekuwepo
Yule jamaa alikua hataki utani utani
Wameambiwa warudishe vifurushi kama ilivyokua mwanzo mpk saiv bado yani,wanatunyonyaa kwanza,wanabahati sana mzee baba hayupo wangenyooka mpk saiv
Napenda sana kiongozi mwenye misimamo,sio wananchi wanalia kiongozi nae analia. Cjui tukimbilie wapi sasa
Magu angekuwepo ungesikia mpk saiv hao ma Director wa haya makampuni wapo central kwa mahojiano.
Jamaa alikua hataki mbwembwe
😂😂😂Magu angekuwepo ungesikia mpk saiv hao ma Director wa haya makampuni wapo central kwa mahojiano.
Jamaa alikua hataki mbwembwe oooh mara sijui mazungumzo mezani tupange tujadiliane kwanza.
Huu ubishi wa haya makampuni usingekuwepo
Yule jamaa alikua hataki utani utani
Wameambiwa warudishe vifurushi kama ilivyokua mwanzo mpk saiv bado yani,wanatunyonyaa kwanza,wanabahati sana mzee baba hayupo wangenyooka mpk saiv
Napenda sana kiongozi mwenye misimamo,sio wananchi wanalia kiongozi nae analia. Cjui tukimbilie wapi sasa
Yuko wapi?Hayupo sasa watu mu enjoy sasa. Kelele hazitakiwi tena saiv
Freebasic inasevu sana wakati mwngine inapita mwezi sijaweka bando la Internet lakini bado napata updates muhimuwww.freebasic.com
Hapo utapata
1.Jamii forum
2.BBC swahili
3.BBC world news
4. Wikipedia
Na vingine vingi for free (Totally free) kupitia Halotel.
Hapo nitakuwa naunga bando kwa issue maalum tu.
Ila pole kwa wanaotegemea internet kuingiza kipato.