Habari wakuu, natafuta bajaji ya kubebea mizigo maarufu kama toyo, hivi dukani bei ni shilingi ngapi kwa sasa. note: maduka ya kuaminika maana kuna jamaa huwa wanaziagiza kwa exemption then wanaziuza, matokeo yake kubadili jina inakuwa mziki.
Asanteni wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.