Black Lady
Member
- Nov 16, 2013
- 65
- 8
wakuuu habari.
naomba kwa anaejua bei ya simu hiyo.
thanx in adv
naomba kwa anaejua bei ya simu hiyo.
thanx in adv
Labda ungetaja mahala ulipo ingekuwa ni rahisi kupata msaada kwa sababu bei ya Dar na Mwanza zinatofautiana kwa kiasi fulani
Brand new au second hand, kama unataka brand new nenda maduka ya pale posta utapata kitu original ila bei inatofautiana duka hadi duka, nakushauri zunguka maduka yote upate difference ya bei ndo ununueniko dar mkuu. bei gn
Brand new au second hand, kama unataka brand new nenda maduka ya pale posta utapata kitu original ila bei inatofautiana duka hadi duka, nakushauri zunguka maduka yote upate difference ya bei ndo ununue
merchant wetu jf godfrey electronics anaiuza kwa 545,000
https://www.jamiiforums.com/matanga...auzwa-godfrey-electronics-online-sales-2.html