bei ya sumsung galaxy gt n 7000

Labda ungetaja mahala ulipo ingekuwa ni rahisi kupata msaada kwa sababu bei ya Dar na Mwanza zinatofautiana kwa kiasi fulani
 
niko dar mkuu. bei gn
Brand new au second hand, kama unataka brand new nenda maduka ya pale posta utapata kitu original ila bei inatofautiana duka hadi duka, nakushauri zunguka maduka yote upate difference ya bei ndo ununue
 
daaaa asante nilitaka kujua bei. naamini wapo wanaojua bei zake pls kwa mwenye idea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom