Bei ya rangi za mabati

Ms mol

JF-Expert Member
Mar 31, 2017
1,960
2,336
Habarini wadau.
Sijui kama ni jukwaa sahihi au la, m

Naombeni kufahamu aina tofauti za rangi zinazopakwa kwenye mabati ya nyumba na bid zake na kwa nyumba iliyotumia mabati 100 kupaua itatumia kiasi gani cha rangi?
NA KAMA FUNDI YUPO NIJUE. LOCATION NI KIBOSHO ROAD MOSHI.
ASANTENI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rangi nyingi na inategemea na ukubwa /ujazo au lita unazotaka kwa mfano kama ni 20lt roofing pant p.v.a inategemea na kampuni ya utengenezaji ila bei kama 20ltrs ndoo ni 260000 hadi 300000.kama ni 10ltrs ni 190000 hadi 220000.na kama ni 4ltrs inaanzia 30000 hadi 40000.hizo zote ndio maksimamo za bei kulingana na kampuni ya rangi.

Kwa hiyo wa stand hiyo kwa nyumba iliyopauliwa kwa bati 100 ni kiasi gani cha rangi kitaitajika?
Rangi nyingi na inategemea na ukubwa /ujazo au lita unazotaka kwa mfano kama ni 20lt roofing pant p.v.a inategemea na kampuni ya utengenezaji ila bei kama 20ltrs ndoo ni 260000 hadi 300000.kama ni 10ltrs ni 190000 hadi 220000.na kama ni 4ltrs inaanzia 30000 hadi 40000.hizo zote ndio maksimamo za bei kulingana na kampuni ya rangi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wadau.
Sijui kama ni jukwaa sahihi au la, m

Naombeni kufahamu aina tofauti za rangi zinazopakwa kwenye mabati ya nyumba na bid zake na kwa nyumba iliyotumia mabati 100 kupaua itatumia kiasi gani cha rangi?
NA KAMA FUNDI YUPO NIJUE. LOCATION NI KIBOSHO ROAD MOSHI.
ASANTENI

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiboshoroad nilishajengaga nyumba ya dogo mmoja jina nimemsahau Ila ni pale chin ukivuka kiwanda cha mbao Kama unaenda bonite jina nimemsahau.ni dogo mmoja hv ndo wa kwanza kupaua kisasa mitaa hiyo huyo ndo anajua kazi yetu

Sawa mkuu wangu. Nipate bas approximate ya kupiga rangi nyumba iliyopauliwa kwa bati 100.. niambie mkuu nijue niandae kiasi gani cha pesa ya rangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom