snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,162
Nakubaliana na wewe. Nina Nokia E5-00, sijajutia kuwa nayo na huu ni mwaka wa pili iko bomba sana. Chaji inadumu muda mrefu sana nikilinganisha na Galaxy ambayo nimeweka laini isiyo busy sana, lakini haidumu na chaji. Wanaoponda simu hio hapo juu hawajaijua tu.
.
Sikuipenda kwenye spika.....
.
Ila ni simu bomba sana.....
.