Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,471
Wapi huko wanakaribia kuvuna? Kwa sasa ndiyo kwanza unaanza kuchanua mmoja mmoja , ngoma bado sanaaWakulima wanakaribia kuanza kuvuna tulieni bei itashuka
hahahahahahahahahahaha ila yeye hayajui haya ya huku mitaani maana wanaompa taarifa ni wapenda sifa wenzieKuna mtu naona kabisa akiishia njiani.
Na mshahara ndio umegoma kupanda hadi mwenyezi apende, tutalima kwa meno!Jamani hili ni janga la taifa. Hivi wananchi hatuna utamaduni wa kutunza hakiba au wafanyabiashara wanakomoa wakitaka kutengeneza faida juu ya faida? Juzi juzi tu mchele mzuri Dar ulikuwa unapatikana kati ya 1,200 hadi 2,000. Sasa hivi kilo moja hadi 2,800??
Kwetu hadi juzi ni 2500 nashindwa kula ubwabwa kwa kweliJamani hili ni janga la taifa. Hivi wananchi hatuna utamaduni wa kutunza hakiba au wafanyabiashara wanakomoa wakitaka kutengeneza faida juu ya faida? Juzi juzi tu mchele mzuri Dar ulikuwa unapatikana kati ya 1,200 hadi 2,000. Sasa hivi kilo moja hadi 2,800??
Sisi geton kwetu tupo watano tunapika nusu na robo na naiona cost inaniuma titakula sembe hadi ushuke beiKama ni familia ya watoto wawili, baba, mama, dada wa kazi na dereva ni kilo mbili mlo mmoja. Bado mboga, juice na salad
Ukipika wali huna haja ya kufagia baada ya kula. Watoto wanahakikisha hakuna kinachomwagika.Sisi geton kwetu tupo watano tunapika nusu na robo na naiona cost inaniuma titakula sembe hadi ushuke bei
[emoji23] [emoji23] I have an idea tupikeni ule wa vitumbua hadi ushuke bei ila mjini hatuhamiUkipika wali huna haja ya kufagia baada ya kula. Watoto wanahakikisha hakuna kinachomwagika.