Bei ya Mashine za Kukoboa na Kusaga

Bei ya Mashine za Kukoboa na Kusaga

Sawa Sawa
Mashine ya Kusaga ama kukoboa ina sehemu mbili. INJINI na KINU.

INJINI / MOTA zinapatikana kwa ukubwa tofauti yaan Horse Power mbalimbali. Eg. HP 12, 15, 20 na kuendelea. Injini nzuri kwa kupiga mzigo na Ulaji mzuri wa Mafuta ni HP 20 bei yake ni 950,000 aina ya Jiang Dong JD, ama DF ama AMEC zote za mchina. Usinunue Lister Peter.

Ukisha nunua Injini unanunua kinu cha Kusaga na kukoboa vinapatikana Sido ama kwa mafundi wa kuchomelea kwa bei ya 500,000-700,000 kutegemea na makubaliano.

Baada ya hapo utasimika mashine yako eneo ulilochagua.

Note
Injini moja inaweza kuvuta vinu viwili katika jengo lako kinachotakiwa ni kutafuta fundi mtaalamu. Ukiwa Dsm Injini zinapatikana Mtaa wa India duka la Jumla la Injini hizo linaitwa KILIMO BORA, AU AGRO METRO. Ukiwa Mwanza duka la Injini lipo Mtaa wa Rwagasore linaitwa SHYMOND.

Endapo utasimika mashine yako kwa usahihi kabisa Kila dumu la Lita ishirini la Diesel faida yake ni Tshs. 60,000 - 80,000 kulingana na bei ya Kusagiaa.

Karibu kwenye biashara isiyo na stress Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karibuni kwa mashine zote kuanzia za kusaga kukoboa mashine za sabuni za miche mashine za kokoto mashine za alizeti kukamua na kuchuja zote zipo sasa ni kupitia najidakia store hapa Najidakia Online Store au lolote huduma kwa wateja 0762612213 sasa ofisi yetu ipo mbezi beach mbele kidogo kutoka massana hospital kupitia barabara ya Goba
Bado zinapatikana?
 
Wadau naona kuna Maswali ya Tangu Nov. 2015 bado hayana majibu yaan nilikua sijapitia post za wadau. Huu uzi ni darasa tosha lkn nashangaa Mods wanauficha sana huu Uzi. Kuna maswali ya Mashine za Kukoboa Mpunga, Mashine za Kusaga kuorodhesha mahitaji yoote ntayatolea majibu. Tujikite sana hii biashara haiumiz Kichwa. Tulioko Mbarali, Mpanda, Sumbawanga, Ifakara wekezeni Kujenga Magodown yenye Mashine za kukoboa Mpunga nimefika huko pesa ziko nje nje sana.
Niliutafuta sana huu uzi lkn nimekuja kuupata kwa mbinde
 
Wadau mloingia kwenye hii biashara baada ya kuusoma huu uzi mtupe mrejesho tafadhali
 
Nawasalim wote wapendwa wapigania kuondosha umaskini! Japo Uzi huu ni wa zaman kias na mi nnaswali! 1. Katka mashine y kusaga na kukoboa ni idadi ipi ya mikanda ni sahh kuwekwa kw kuzngatia spid na matumiz ya umeme? Naulza hv maana Kuna mwngne anakwambia weka mmoja mwngne miwl had mitatu ( mota ni 20hp) 2. Kanuni ipi unatumika wakat wa kufunga hesab na mfany Kaz sababu weng wetu tunaajr vjana! Mungu awatangulie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom