Bei ya Mashine za Kukoboa na Kusaga

Bei ya Mashine za Kukoboa na Kusaga

Mashine ya Kusaga ama kukoboa ina sehemu mbili. INJINI na KINU.
INJINI / MOTA zinapatikana kwa ukubwa tofauti yaan Horse Power mbalimbali. Eg. HP 12, 15, 20 na kuendelea. Injini nzuri kwa kupiga mzigo na Ulaji mzuri wa Mafuta ni HP 20 bei yake ni 950,000 aina ya Jiang Dong JD, ama DF ama AMEC zote za mchina. Usinunue Lister Peter.
Ukisha nunua Injini unanunua kinu cha Kusaga na kukoboa vinapatikana Sido ama kwa mafundi wa kuchomelea kwa bei ya 500,000-700,000 kutegemea na makubaliano.
Baada ya hapo utasimika mashine yako eneo ulilochagua. Note.... Injini moja inaweza kuvuta vinu viwili katika jengo lako kinachotakiwa ni kutafuta fundi mtaalamu. Ukiwa Dsm Injini zinapatikana Mtaa wa India duka la Jumla la Injini hizo linaitwa KILIMO BORA, AU AGRO METRO. Ukiwa Mwanza duka la Injini lipo Mtaa wa Rwagasore linaitwa SHYMOND.
Endapo utasimika mashine yako kwa usahihi kabisa Kila dumu la Lita ishirini la Diesel faida yake ni Tshs. 60,000 - 80,000 kulingana na bei ya Kusagiaa.
Karibu kwenye biashara isiyo na stress Mkuu.
Mkuu vipi aina hizo za motor ulizozitaja bado zinafaa kwa sasa au pengine kwa sasa kuna aina nyingine tofauti nzuri zaidi ya hizo hasa zile zinazotumia umeme? Tafadhali naomba msaada kuhusu hilo.
 
Injini ipi nzuri kwa biashara, inayotumia dizeli au ya umeme?
 
We j
Wadau kwa Uzoefu wangu wa Kufanya biashara nimegundua Kuwa Biashara ambayo ni non mobile yaan iliyotulia sehemu maalum au isiyohamishika ina changamoto chache mno ukilinganisha na ile ya kuhamahama. Kwa biashara ya Mashine changamoto kubwa ni VIPURI FEKI, MGAO WA UMEME na Ubabaishaji wa Wafanyakazi. Zingatia unaponunua Vifaa vya Mashine yako ununue VIFAA GENUINE INGAWA VITAKUA BEI AGHALI LKN UTAFAIDI ZAIDI. mf. Switch ya kuwasha Mashine FEKI INAUZWA LAK 2 Kkoo, Lkn ukienda kwa Dealer wa Vifaa vya MEM ya Uingereza vifaa ambavyo utapewa Grantii ya Miaka 20 hiyo Starter wanauza Lak 4.5
ukijiloga ukanunua starter feki ya lak 2 kwa mwaka itaungua zaidi ya Mara 6 au zaidi so wewe utakua daily ni kwenda kununua spea. Tujitahidi kutafuta vifaa imara. Wenzetu wanasema CHEAP IS EXPENSIVE

We jamaaa umetufungua macho sana.mpo wachache sana msio na roho ya kibinafsi.
 
Njoo ukutane na mtaalamu wa kuchonga vinu vya kusaga yupo uyle mbeya opposite na mashamba ya kilimo mkabara na ofisi za serikali kata zilipo garage za wachina.Haitazidi milion 4.
 
Naomba kujua nna stator yang ya mota ya machine ya kukoboa inachelewa kuitikia wakat wa kukoboa
Ni tatizo gan wadau?
 
Mkuu Mteule, Naomba utupe location ya hawa Dealers wa vifaa vya umeme tafadhali (MEM), Pia mawasiliano yao kama unayo ili kurahisisha kazi ya kuwapata. Itakuwa vyema pia kama ukatupa update ya price kwa sasa ikoje, maana ni kipindi kirefu kimepita tangia uandike kwenye hii mada

Natanguliza shukrani za dhati!
 
Wadau kwa Uzoefu wangu wa Kufanya biashara nimegundua Kuwa Biashara ambayo ni non mobile yaan iliyotulia sehemu maalum au isiyohamishika ina changamoto chache mno ukilinganisha na ile ya kuhamahama. Kwa biashara ya Mashine changamoto kubwa ni VIPURI FEKI, MGAO WA UMEME na Ubabaishaji wa Wafanyakazi. Zingatia unaponunua Vifaa vya Mashine yako ununue VIFAA GENUINE INGAWA VITAKUA BEI AGHALI LKN UTAFAIDI ZAIDI. mf. Switch ya kuwasha Mashine FEKI INAUZWA LAK 2 Kkoo, Lkn ukienda kwa Dealer wa Vifaa vya MEM ya Uingereza vifaa ambavyo utapewa Grantii ya Miaka 20 hiyo Starter wanauza Lak 4.5
ukijiloga ukanunua starter feki ya lak 2 kwa mwaka itaungua zaidi ya Mara 6 au zaidi so wewe utakua daily ni kwenda kununua spea. Tujitahidi kutafuta vifaa imara. Wenzetu wanasema CHEAP IS EXPENSIVE
Mkuu Mteule, Naomba utupe location ya hawa Dealers wa vifaa vya umeme tafadhali (MEM), Pia mawasiliano yao kama unayo ili kurahisisha kazi ya kuwapata. Itakuwa vyema pia kama ukatupa update ya price kwa sasa ikoje, maana ni kipindi kirefu kimepita tangia uandike kwenye hii mada

Natanguliza shukrani za dhati!
 
Mkuu Mteule, Naomba utupe location ya hawa Dealers wa vifaa vya umeme tafadhali (MEM), Pia mawasiliano yao kama unayo ili kurahisisha kazi ya kuwapata. Itakuwa vyema pia kama ukatupa update ya price kwa sasa ikoje, maana ni kipindi kirefu kimepita tangia uandike kwenye hii mada

Natanguliza shukrani za dhati!
Respect Mkuuu, Mkuu nitaweka hapa namba ya hao Wahindi wa MNARA WA SAA mjipatie vifaa OG
 
Gharama za Kuanzisha mashine ya Umeme.
Mota 20hp 1470 rpm Tshs 1 Mil, Kinu Lak 7, Starter ya MEM genuine Lak 4.5, Main Switch Lak 5, Control Lak 4, Tanesco Mil 2-3, Cables Lak 6 nk..
Note... Unaponunua Mota uwe makini usichukue Mota Hp kuuuubwa ukaishia kuifaidisha Tanesco, zingatia vipimo ili kuokoa matumiz ya Umeme yasiyo ya lazma ili upate faida zaidi.
Chekecheo la kinu chako pia ni mbinu ya kupata faida zaidi... Ni somo lefu Karibun kwa maswali zaidi.
Asante sana, Mkuu. Ubarikiwe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashine ya Kusaga ama kukoboa ina sehemu mbili. INJINI na KINU.
INJINI / MOTA zinapatikana kwa ukubwa tofauti yaan Horse Power mbalimbali. Eg. HP 12, 15, 20 na kuendelea. Injini nzuri kwa kupiga mzigo na Ulaji mzuri wa Mafuta ni HP 20 bei yake ni 950,000 aina ya Jiang Dong JD, ama DF ama AMEC zote za mchina. Usinunue Lister Peter.
Ukisha nunua Injini unanunua kinu cha Kusaga na kukoboa vinapatikana Sido ama kwa mafundi wa kuchomelea kwa bei ya 500,000-700,000 kutegemea na makubaliano.
Baada ya hapo utasimika mashine yako eneo ulilochagua. Note.... Injini moja inaweza kuvuta vinu viwili katika jengo lako kinachotakiwa ni kutafuta fundi mtaalamu. Ukiwa Dsm Injini zinapatikana Mtaa wa India duka la Jumla la Injini hizo linaitwa KILIMO BORA, AU AGRO METRO. Ukiwa Mwanza duka la Injini lipo Mtaa wa Rwagasore linaitwa SHYMOND.
Endapo utasimika mashine yako kwa usahihi kabisa Kila dumu la Lita ishirini la Diesel faida yake ni Tshs. 60,000 - 80,000 kulingana na bei ya Kusagiaa.
Karibu kwenye biashara isiyo na stress Mkuu.

hapo umemaliza kila kitu mkuu. wadau wameshakuelewa, sidhani kama kuna maswali tena hapo.
 
Mkuu@mteule naomba nisadie Mora ya hp20 inaendana na kinu cha saizi gani. Asante
 
Mkuu mteule binafsi nashukuru kwa moyo mzuri ulionao maana umetunawisha nyuso zetu kwa kututoa Tongotongo,kwa hili niseme asante sana.
Mi nimefuatilia mjadala,maoni,mawazo na maelekezo yote ila kuna point muhimu ya ni "jinsi gani faida inavyopatikana kwa yule anayesaga na kuuza sembe na Dona kibiashara,yaani cost analysis ya hii biashara kwa Ijumaa.
Asante na naomba kuwasilisha!!
 
karibuni kwa mashine zote kuanzia za kusaga kukoboa mashine za sabuni za miche mashine za kokoto mashine za alizeti kukamua na kuchuja zote zipo sasa ni kupitia najidakia store hapa Najidakia Online Store au lolote huduma kwa wateja 0762612213 sasa ofisi yetu ipo mbezi beach mbele kidogo kutoka massana hospital kupitia barabara ya Goba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom