Peter Mwaihola
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 289
- 489
mchele bongo 3600 twafaWakati wananchi wa Tanzania wakilalamika kupanda kwa bei za nafaka sokoni hasa bei ya mahindi hali hiyo imekuwa gumzo zaidi nchini Malawi.
Kwa mujibu wa bei elekezi iliyotolewa na wizara ya kilimo ya nchini Malawi kilo moja ya mahindi inauzwa kwa kwacha 1050 ambayo ni sawa na Tsh 1600 bei imepanda mara dufu ikilinganishwa na mwaka jana ambapo kilo moja iliuzwa kwa Kwacha 660.
Je eneo ulilopo unanunua mahindi kwa bei gani?
Nifollow Peter MwaiholaView attachment 3296767
Mbona Kwingine hakuna BeiWakati wananchi wa Tanzania wakilalamika kupanda kwa bei za nafaka sokoni hasa bei ya mahindi hali hiyo imekuwa gumzo zaidi nchini Malawi.
Kwa mujibu wa bei elekezi iliyotolewa na wizara ya kilimo ya nchini Malawi kilo moja ya mahindi inauzwa kwa kwacha 1050 ambayo ni sawa na Tsh 1600 bei imepanda mara dufu ikilinganishwa na mwaka jana ambapo kilo moja iliuzwa kwa Kwacha 660.
Je eneo ulilopo unanunua mahindi kwa bei gani?
Nifollow Peter MwaiholaView attachment 3296767
Mvua ikinyesha lazima yapande namana hatuna uwezo wa kutunza asilimia 80 ya wakulima mazao yakiiva yanauzwa kuziba pengo mengine kufanyia shughuli nyingineInategemea upo soko lipi... mahindi hata kwa 800 kwa kg unapata ba mchele kwa 2500 unapata.
Mvua zimeitika sehemu nyingi, na bei naona kama itaanza kushuka sehemu nyingi
Kwa saikolojia ya wakulima ikinyesha vizuri maana yake uhakika wa kuvuna unakuwa mkubwa hivo, wanatoa stocks walizokuwa nazo na kuziuza, kitu kinachosababisha kuongeza supply na bei kushukaMvua ikinyesha lazima yapande namana hatuna uwezo wa kutunza asilimia 80 ya wakulima mazao yakiiva yanauzwa kuziba pengo mengine kufanyia shughuli nyingine
Kwa sasa sio mengi namana mwaka Jana mvua ilichenga kidogoKwa saikolojia ya wakulima ikinyesha vizuri maana yake uhakika wa kuvuna unakuwa mkubwa hivo, wanatoa stocks walizokuwa nazo na kuziuza, kitu kinachosababisha kuongeza supply na bei kushuka
Mvua ziitike wakati msimu wa Kilimo ulishapita! Hali ni mbaya sana hasa kanda ya ziwaInategemea upo soko lipi... mahindi hata kwa 800 kwa kg unapata ba mchele kwa 2500 unapata.
Mvua zimeitika sehemu nyingi, na bei naona kama itaanza kushuka sehemu nyingi
Wapi?Kama una mtaji njoo nikukusanyie mahindi ya bei nafuu upige pesa
kageraWapi?
Sh ngapkagera
duh saiv yamepanda panda yana 700/kgSh ngap
Nikinunua Gunia sh 70000 huko nikifikisha dodoma ni laki ambayo ni sawa na nimenunua huku tuduh saiv yamepanda panda yana 700/kg
sawa mkuuNikinunua Gunia sh 70000 huko nikifikisha dodoma ni laki ambayo ni sawa na nimenunua huku tu