Samaki Nchanga
Member
- Dec 31, 2018
- 95
- 53
Wakuu Habari?
Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania.
Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina Ukiritimba mwingi hasa kwenye Bei Nafikiri ndo maana Wakulima wengi wa Mahindi ni masikini Maan unalima Uhakika wa bei Uko Gizani. Kwa wajuzi na wafuatiliaji Je mwaka huu Bei ya Mahindi Itakuwaje!?
Je, Wanaosema itapanda kisa uchaguzi Kuna uhakika? Naomba tafadhali Mwenye uzoefu Atuibie Taarifa za mwelekeo wa Hili zao
Je, Bei inaweza kuwa kiasi gani kwa Kg?
Nawasilisha