Bei ya kwenda Marekani

Bei ya kwenda Marekani

Jamani eti ni bei gani kwenda marekani na kurudi bongo na bei ya visa

Huko unapotaka kwenda huna mwenyeji?

Gharama ya nauli hutegemea shirika la ndege, muda utaokata tiketi na daraja la tiketi utayokata...
 
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::A S thumbs_up::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Bei inategemea na Jimbo unalokwenda, shirika la ndege unalotumia, pia ni majira gani ya mwaka unayotaka kusafiri. Bei ya visa pia inategemea, visa ya utalii, ya ukazi wa kudumu, au ile ya kuingia na kutoka- na kuingia tena(Multiple Entry Visa)!. Kazi kwako Mheshimiwa.


Jimbo ni Tennessee ni multiple entry visa
 
Kwa shirika la ndege kama turkish airline,andaa kitu kama dola za kimarekani 3200 kwenda na kurudi.
 
Mi binafsi naweza kukupeleka kwa ndege zetu za kienyeji kwa sent tano tu
Ila kurudi utajua mwenyewe
Sikufuati
 
Kwa mwenye kufahamu ni vizuri akasaidiwa hapa huyo ndugu,kuuliza si ujinga,maana kuuliza ni kuuliza,,,na ujinga ni ujinga ..tusidharau maswali ya wengine..,uenda lugha aliyotumia sio sahihi..,
 
Jamani eti ni bei gani kwenda marekani na kurudi bongo na bei ya visa

Inabdi uwe na sababu maalum ya kwenda huko US i.e. utalii, masomo, kutembelea ndugu etc. utakayo present embassy officially so as to determine visa gan utapewa.

Vigezo na masharti husika i.e ur bank statements na mengine...Hayo yote yana gharama zake kwanza ukishajua sababu ya safari yako.

#Goodluck.
 
bei ya marekan kwenda kama ww maisha mabaya bora hiyo hela ufanyie mrad mwngne
 
Huku kwetu Kenya, inategemea na kampuni ya ndege na route utakayoitumia.
Hakuna ndege ya moja kwa moja kwenda America
(Hata huko Bongo).
Lazima kuna stop-overs.


Kuhusu visa,
Inategemea na aina ya visa unayotaka.
I.E, Kuna ya utalii, biashara, elimu n.k.
Unataka gani?
 
Kwenda marekani ni milioni 10 kwa nauli ya kwenda na kurudi... Kwa vile we ni rafiki yangu nitakufanyia millioni 8

Basi imeshuka......mara ya mwisho kwenda mimi ilikuwa mil 12......visa mil 3.......na nilitokea Dar-Mongolia-Alaska........nikarudi kupitia Chile.......
 
Back
Top Bottom