Bei ya kwenda Marekani

Bei ya kwenda Marekani

Nami naulizia bei na visa ya kwenda somalia ya pwani jaman na kuna garama gani kukaa kama wiki na je hoteli za huko zikoje
 
Basi imeshuka......mara ya mwisho kwenda mimi ilikuwa mil 12......visa mil 3.......na nilitokea Dar-Mongolia-Alaska........nikarudi kupitia Chile.......
Hahaaa... Yaani wewe...Hiyo route yako ilikuwa kiboko. Ukitaka kwenda tena nistue, nikupaishe na ungo wangu!.:smiling:
 
Back
Top Bottom