Bei ya kupiga tiles kwa mita

Moyouliokufa

Member
Jan 13, 2017
13
7
Habari wana JamiiForums,

Nina kibanda changu, nataka kupiga tiles, nataka kujua mita inapigwa kwa bei gani

Asante
 
Tumafanyaje kaka nipe details,mi nafanyaga kazi mpaka tunduma,sasa nipo morogoro,namba yangu umeiona?
Mkuu alubati, kati ya kuweka tiles, kufanya skimming, kuweka masinki ya vyoo na ya kunawia na kuweka Aluminium.. Kipi kinatakiwa kuanza, kipi kifuatie na kipi kiwe cha mwisho?

Ushauri wako tafadhali
 
Mkuu alubati, kati ya kuweka tiles, kufanya skimming, kuweka masinki ya vyoo na ya kunawia na kuweka Aluminium.. Kipi kinatakiwa kuanza, kipi kifuatie na kipi kiwe cha mwisho?

Ushauri wako tafadhali
wiring/maji-Plasta-blanderring-skimming-g/boards-tiles-fitting of various attachements(masink, madirisha, taa etc.)-rangi
Fuata huo mtiririko, unaweza kukupa mwanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom