kiwanda cha korosho ni nn maana huko naona wabanguaji ni wanawake wa kihindi na matanuri ya kukaanga koroshoMimi nafikiri kwanza tujiulize haya.
1. Ukibangua kilo moja ya Korosho unapata korosho unapata kiasi gani?
2. Gharama za kubanjua zikoje
Haya mengine ya kusafirisha na logistice zingine tutazipata huko baadae kwasababu kwa harakaharaka inaonekana bei ya korosho zilizobanguliwa ni kama TZS 30,000 kwa kilo
Aisee! kumbee!!Tanzania niya pili kwa korosho africa
Acha wivu na ubaguzi nani alio kukataza kuazisha kiwanda cha korosho....tumekalia majungu na fitina....huyu unae msema kaajiri raia wa ngapi? wewe onyesha mchango wako pia.
nadhani hata kiwanda si ishu maana ukiangalia huko india wanaofanya hizo kz ni wanawake wakibangua kuna kitu hatujakielewa maan watu tunao, korosho ipo, tungeanzisha viwanda vidogo tuuze kwanza ndani watu wale korosho hili kitu korosho ni ghali sana ukipanda basi ndo utaijuiaKwahiyo issue ni kiwanda cha kubangua.
Baba wa taifa alijenga viwanda vingi tu SISI tukaviua.mimi ninacho shangaaaa ni hawa watu kwanini walishindwa liongeza thamani
kama mtu anaweza anzisha kiwanda kutengeneza matofali au kusindika unga, maziwa, matunda nadhani si gumu kuanzisha kiwanda cha kubanguaHata South Africa ni wanunuzi wazuri kwa supermarkets zao
IlaHakuna mtu aliyepotezwa!
ivi kweli mabilioni yote tukitengeneza viwanda vya kubangua hata viwili plus kimoja tuwe suplier wa africa ukimuwacha nigeriaBaba wa taifa alijenga viwanda vingi tu SISI tukaviua.
£1 =Tsh 2,946.23exchange rate ni ngapi now tupate picha kamili. Lakini Sky kuja kuifikisha kama hivyo huko London super market, labour power embedded in it is high and consequently high price! You can not by any stretch of imagination call this exorbitant price!
View attachment 930706
Hii ni pack ya robo kilo au 250gm ni £2.75 Tesco Supemarket
View attachment 930712
Sainsbury’s pack ya nusu kilo au 500mg ni £7.00
View attachment 930719Wazee wa fursa kwa jina la healthy food Holland and Barrett 200gm ni £3.99
View attachment 930739
Waitrose Supermakert kilo moja ni £14.67
BEI NZURI SANA. Sky nilikuwa Marekani,rafiki yangu akaniambia Korosho wanakula wenye fedha! It is damn expensive!£1 =Tsh 2,946.23
£275 Kwa 250gm?
Jamani tuwe serious
ameandika 2.75 we itakuwa umesoma KLF£275 Kwa 250gm?
Jamani tuwe serious
Mimi nafikiri kwanza tujiulize haya.
1. Ukibangua kilo moja ya Korosho unapata korosho unapata kiasi gani?
2. Gharama za kubanjua zikoje
Haya mengine ya kusafirisha na logistice zingine tutazipata huko baadae kwasababu kwa harakaharaka inaonekana bei ya korosho zilizobanguliwa ni kama TZS 30,000 kwa kilo