Bei ya kitanda Cha mninga?

Bei ya kitanda Cha mninga?

Andaa laki 9 nicheki wasap kwa sample zaidi 0655073009.
 

Attachments

  • 20241022_170047.jpg
    20241022_170047.jpg
    766 KB · Views: 21
Hivi kwanini Keko kuna matapeli wa kutosha kwenye hili eneo la biashara ya samani? Nisaidie nipate waaminifu. Huku mitaani wengi hawana mashine/vifaa vya kiasa, hivyo finishing zao zinakuwa za viwango vya chini hata kama mbao zitakuwa Mninga.
 
Back
Top Bottom