Bei ya kioo cha Laptop

Bei ya kioo cha Laptop

Kariakoo ni shilingi 100,000 kama laptop yako haina inverter na kama inayo inverter ni 120,000 wanakuwekea kioo kingine aiseee...
 
Used..?? Ya specs zipi..?? Mnapoambiwaga laptop tshs. 400,000/- uliza zaidi ya hapo....

umeelewa hoja yangu kweli? my concern ni hiyo bei ya kioo kuwa kubwa,,,, dola 190???? hata kama ni used computer kama ni nzuri kwa bei ya kilo 6 hadi 8 si poa kuliko kioo zaidi ya laki nne. after all utakuta komputer aliyoharibikiwa hiyo kioo labda imeanza kuchoka, may be used then kioo dola 190
 
Back
Top Bottom