Dr. Chapa Kiuno
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 443
- 18
Wadau, naomba mnijulishe bei ya Mitsubishi Chariot grandis kuanzia engine ya 2000 na kuendelea. Ikiwa used n ikiwa mpya...
Aksanteni.
Aksanteni.
Kwa nini mkuu? mbona unanitisha???Wakati huo huo ukilinunua ujiandae kufunga ndoa ya kikristo na gari hilo,kwani halinunuliki...Mengine ambayo yanaweza kuwa wife ni Subaru,Honda Civic,Nissan X-trail,Toyota Maxima na Toyota Lucida etc...
Kwa nini mkuu? mbona unanitisha???
Dah! Nashukuru sana kwa kunifungua macho mkuu! Ss nikigeukia kwa RAUM je???Mkuu sikutishi ila ndio reality... Ukilinunua utakaa nalo mwaka mmoja baada ya hapo ndio litanza matatizo haswa kwenye control box na pia linapenda kunywa Mafuta ambayo hayana zebaki yaani UN-LEADED sasa kwa haraka haraka ni Fuel station chache ndio zinatoa mafuta hayo... hivyo kazi itakuwa kubwa... ukizingatia kuna haya mafuta yaitwayo CHAKACHUA... Yaani mchanganyiko wa Petrol na Kerosine ndio umeshamiri hapa Tanzania. sikushauri
Dah! Nashukuru sana kwa kunifungua macho mkuu! Ss nikigeukia kwa RAUM je???
we buy cars for own use, also kuharibika kwa gari kunategemea matumizi binafsi kwani tunaona chariot kwenye net zimetembea mpaka 190,000 kms na still zinauzwa. uliposema mwaka mmoja sijui ulimaanisha nini? you will never be able to get a car of which you can stay with it forever.
chao