Bei ya CHARIOT - Mitsubishi Grandis | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya CHARIOT - Mitsubishi Grandis

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Dr. Chapa Kiuno, Feb 16, 2010.

 1. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wadau, naomba mnijulishe bei ya Mitsubishi Chariot grandis kuanzia engine ya 2000 na kuendelea. Ikiwa used n ikiwa mpya...


  Aksanteni.
   
 2. PgSoft2008

  PgSoft2008 JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2010
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Angalia website za japan kama tradecarview.com n.k for estimates. mi nilinunua mwezi uliopita imetembea 81,813 km ya mwaka 2001 kwa CIF 2800 Dar es Salaam
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,992
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 180
  Wakati huo huo ukilinunua ujiandae kufunga ndoa ya kikristo na gari hilo,kwani halinunuliki...Mengine ambayo yanaweza kuwa wife ni Subaru,Honda Civic,Nissan X-trail,Toyota Maxima na Toyota Lucida etc...
   
 4. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa nini mkuu? mbona unanitisha???
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,992
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 180
  Mkuu sikutishi ila ndio reality... Ukilinunua utakaa nalo mwaka mmoja baada ya hapo ndio litanza matatizo haswa kwenye control box na pia linapenda kunywa Mafuta ambayo hayana zebaki yaani UN-LEADED sasa kwa haraka haraka ni Fuel station chache ndio zinatoa mafuta hayo... hivyo kazi itakuwa kubwa... ukizingatia kuna haya mafuta yaitwayo CHAKACHUA... Yaani mchanganyiko wa Petrol na Kerosine ndio umeshamiri hapa Tanzania. sikushauri
   
 6. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2010
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Dah! Nashukuru sana kwa kunifungua macho mkuu! Ss nikigeukia kwa RAUM je???
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,992
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 180
  Raum ni nzuri sijasikia matatizo yake...
   
 8. PgSoft2008

  PgSoft2008 JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2010
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  we buy cars for own use, also kuharibika kwa gari kunategemea matumizi binafsi kwani tunaona chariot kwenye net zimetembea mpaka 190,000 kms na still zinauzwa. uliposema mwaka mmoja sijui ulimaanisha nini? you will never be able to get a car of which you can stay with it forever.

  chao
   
 9. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,992
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 180
  Pastor: Ok now you are Wife n Husband... Kinanda... Pooooroompoo... Pooooorompooo... Porompompomporoporompopoooooooooooo...X30000000 Wedding hymn... Ha ha haa
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...