Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,774
- 54,843
Kwa hiyo itapanda kwa buku tena hapoSawa tuu si wameounguziwa kwingineko..
Mkoani tunanunua cement 17,000-19500 so sie tulizoea..
Mwisho umeambiwa hela inatakiwa wanafunzi wakapewe mikopo wasome hakuna njia mbadala
NdioKwa hiyo itapanda kwa buku tena hapo
Kuna matumizi mabaya ya kodi zinazokusanywa na ukusanyaji wa kodi umekithiri rushwa na ukwepaji wa kodi
Mwisho wa siku ndo hizi tozo tunabebeshwa sisi.
Kumbuka hii haimwathiri mwenye kiwanda wala mfanyabiashara wa jumla na rejareja hata kidogo ni wewe mtumiaji wa mwisho unabebeshwa mzigo wa hiyo buku
Yani Mwigulu Badala awapandishie Gharama ya bia walevi anapandisha bei kwenye ujenzi.Kwenye uchumi ongezeko la buku ni hela kubwa sana
Dangote 42.5 Truck semi hubeba mifuko 600 bei ilikuwa ni 15,000 ulikuwa unaagiza kwa 9,000,000/=
Sasa hivi baada ya serikali kuongeza 1000 ni 16,000 ukiagiza semi ni 9,600,000/=
Hii cement ya Dangote 42.5 ndio huwa inatumiwa sana na viwanda vya kutengeneza tofali
Mtengeneza tofali naye ataongeza bei ya tofali ili kufidia hizo buku buku
Mtumiaji wa mwisho mwananchi akisema aanze ujenzi akienda kununua matofali anakuta bei iko juu akinunua na cement anakuta bei imepanda
Mambo ya Hon. Dr. Nchemba hayo
Mkuu, wa leo sio wawakilishi wa Wananchi tena bali ni Wawakilishi wa Serikali. Wawakilishi wa Wananchi walikuwa zamani akina G55.Kule Bungeni tumepeleka Wawakilishi wasioweza kututetea.
Hii Nchi hata turudishe kodi ya Kichwa lakini maendeleo yataishia kusemwa midomoni mwa Wanasiasa tu lakini sio kuonekana field.
Viongozi wanatafuna hii Nchi kwa Ufisadi
Kukombolewa toka kwenye mikono ya "maharamia wa Kisomali ".....labda kama baada ya vizazi viwili , vitatu vijavyo.Hii nchi itakuja kukombolewa tu siku moja!
Sahihi Mkuu, ndiyo maana wameshindwa kututetea Wananchi wenzaoMkuu, wa leo sio wawakilishi wa Wananchi tena bali ni Wawakilishi wa Serikali. Wawakilishi wa Wananchi walikuwa zamani akina G55.
Unaongelea bei ya cement ipi hiyo mkuu. Dangote na twiga plus bei ya awali ilikuwa 16000 kwa mfuko. Hizo za 14000 ni lucky, nyati, diamond na nyinginezoMbona Cement Dar zinauzwa kwa 13700-14500
Baada ya ongezeko itakuwa 14700-15500
Hivi kwa Afrika Mashariki,Kuna nchi yenye gharama kubwa za vifaa vya Ujenzi kama Tanzania?Taarifa iliyosambazwa na Uongozi wa kiwanda cha cement cha Dangote , inaeleza kwamba sababu za kupanda kwa Bei ya cement ni ongezeko la kodi ya serikali kwenye bidhaa hiyo .
Taarifa yao hii hapa .
View attachment 2674532
Siasa ni nzuri Sasa changamoto inakutana na malimbukeni. Ndio maana hoja ya leaders are born Ina mashikoFikiria mtu anakula bure, analala bure, anaendesha bure, karibia 100% ya maisha yake anaishi bure kwa kutegemea watu fulani wampe, lakini hao wanaompa ili aishi vizuri anazidi kuwakandamiza.
Hivi waliobuni mifumo ya kuongozwa na siasa ni nani kama sio upumbavu? There mofos are so selfish.
Hata kama ingekuwa umewapeleka wewe lakini kusema ukweli Wabunge wa 2020 hakuna kitu kabisa
Hivi kwa Afrika Mashariki,Kuna nchi yenye gharama kubwa za vifaa vya Ujenzi kama Tanzania?
Wote mule ndani hawajitambui kabisa, yaani wamekaa kujaza matumbo yao tuYou are very polite to these NICOMPOOPS ; hawa wabunge ni MAFALA Sana!
Nakumbuka mwaka 2020 kuanzia mwezi wa sita, cement ilipanda sana.
Nilikuwa nasimamia ujenzi Mwanza, Twiga plus tulikuwa tunaichukua kwa Tsh 23,000.
Serikali ya kipumbavu sana inaacha kupunguza matumizi yasiyo na tija inakuja na budget ya kuongeza ugumu wa maisha kwa wananchi
Elimu haijatusaidia. Pia watz ni waogaNimeona pia taarifa ya Mbeya cement, nayo imeonesha hilo ongezeko la shilingi 1,000 kwa kila mfuko wa saruji.
Yaani pamoja na ugumu huu wa maisha wameamua ku impose mzigo mwingine wa kodi kwa Raia wake 🙌
=======
Ingekuwa Nchi nyingine zinazoejielewa mfumko huu wa maisha ingekuwa tiketi ya Viongozi hao wakuu na Serikali yao kuondoshwa madarakani
Niko sahihi 2020 nilikuwa Mwanza , na hiyo ndio bei tuliyokuwa tunachukulia mfuko wa cement (Twiga plus) kwa bei ya rejareja. Kipindi hicho cement zilidimika sana mikoni.2020? Angalia usahihi
Niko sahihi 2020 nilikuwa Mwanza , na hiyo ndio bei tuliyokuwa tunachukulia mfuko wa cement (Twiga plus) kwa bei ya rejareja. Kipindi hicho cement zilidimika sana mikoni.
Huwezi kunibishia manunuzi aambayo nilifanya mwenyewe, 2020 (august - september) nilinunua Cement kwa bei hiyo.Bei ya cement ilipanda 2021 baada ya kifo cha magufuli