Bei ya Cement yapanda

Sisi CHADEMA hatutaki kuhongwa viti Bungeni tunataka Katiba Mpya ndio tuingie kwenye Uchaguzi ambao ni huru na wa haki na kama CCM itatushinda kihalali tutawapongeza.
🤔kwan chadema ni mlikua mnataka Katiba mpya, Mikutano ya hadhara vyama iruhusiwe, wabunge wa COVID-19 waondolewe bungeni, Mbowe atoke gerezani, Maridhiano yaendelee, tozo miamala ya cm ziondolewe, garama za maisha zishushwe, mkataba DP world uvunjwe, Jaji mkuu kuongezewa muda kusitishwe au mnataka nini hasa maana naona maacha hiki mnadandia kingine. Kipi ni kipi hasa ili angalau muaminike
 
Sisi tunataka KATIBA MPYA kwanza.
 
CCM iondolewe kwa mtutu kwasababu imetumasikinisha kwa miongo mingi.

Ni afadhali leo umeelewa sisi toka Nyerere kuwekwa madarakani na waingereza tulielewa kuwa ataiangamiza nchi
 
Sisi tunataka KATIBA MPYA kwanza.
Hapo sawa, muwe uniform basi. That's very good 👍 commander.
Train your fellow on discipline katika kulisimamia hili. I appreciate your patience chief 💪🙏
 
Kule Bungeni tumepeleka Wawakilishi wasioweza kututetea.

Hii Nchi hata turudishe kodi ya Kichwa lakini maendeleo yataishia kusemwa midomoni mwa Wanasiasa tu lakini sio kuonekana field.

Viongozi wanatafuna hii Nchi kwa Ufisadi
Kumbe wabunge uliwapeleka wewe na Marehemu magufuli ??
 
Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi
Uliona wapi nchi yenye viongozi wenye akili wanatumia 62% ya bajeti Kwa matumizi ya utawala? Yaani akili yao wanaona kununua mashamgongi na vitafunio ofisini ndio kipaumbele badala ya kuwekeza kwenye kilimo, elimu na afya sehemu ambazo zitachochea maendeleo ya nchi!
Samia yupo yupo tu hajui kitu gani kinaendelea!!
 
Tupunguze matumizi ya cement kwa kutumia matofali ya kuchoma, hii serikali inaumiza sana wananchi wake, simpendi kabisa yule jamaa anaitwa Mwigulu
 
Wanatuonyesha njia ya kufanya mageuzi ila tumelala kama pono, inakera, tozo kodi na hupati huduma kamilifu umeme kero, maji kero duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…