Bei ya cement (Wazo kiwandani)

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
510
102
Wakuu heshima mbele,

Nauliza hivi kiwandani wazo cement, wanauzaji kwa tani 1, yaani 20 bags, nina kisehemu nauza cement, nadhani nikiwa nanunua direct kiwandan walau ka profit katapanda panda, na pia utaratibu wa kununua huko kiwandani upoje?

Tafadhali kwa anaefahamu naomba msaada.
 
wakuu heshima mbele,nauliza hivi kiwandani wazo cement,wanauzaji kwa tani 1,yaanh 20 bags,nina kisehemu nauza cement,nadhan nikiwa nanunua direct kiwandan walau ka profit katapanda panda,na pia utaratibu wa kununua huko kiwandani upoje?tafadhali kwa anaefahamu naomba msaada.

Ninayo cement kutoka Pakistan kwa bei nzuri, bei ndogo kuliko kiwandani. inaitwa Dewan. Tuwasiliane
 
Back
Top Bottom