Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
- Thread starter
- #21
Shukrano sana mkuu.Nenda k'koo mtaa wa agrey nyuma ya jengo la China plaza.
Kuna Duka kubwa Lina MABANGO kibao ya TECNO, ORAIMO na EXCELLENT.
Mcheki jamaa anaitwa BARAKA,
Ni Agent wa EXCELLENT na ORAIMO DAR nzima
Bei za rejareja sijui, mi Nanunuaga kwa Bei ya jumla TU.
Ila nna imani haiwezi kuzidi 15,000
(Andaa 15,000 maximum,ila inaweza isifike huko)
Namba ake nmekutumia PMView attachment 1530381
Simu imepona na inapiga kazi kama kawa.