Bei ya betri ya Tecno K7 ipoje?

Bei ya betri ya Tecno K7 ipoje?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,681
Hii betri naweza pata kwa bei ipi dukani Kariakoo?
105004558_2096304423834506_6552564827797862982_n.jpg
 
Ilizingua.
Nilikuwa niliwasha data kitu chaji inapukutika kama upepo.
Jana usiku niliweka chaji ikafika 30% nilachomoa nikaiwasha ikazima mazima mpaka muda huu.
 
Kwa Sasa techno yako iko kwny Self Destructive mode al-maarufu kwa jina la gusa ninuke.
 
Ilizingua.
Nilikuwa niliwasha data kitu chaji inapukutika kama upepo.
Jana usiku niliweka chaji ikafika 30% nilachomoa nikaiwasha ikazima mazima mpaka muda huu.
tafuta ela ununue sim nyingine, by the way kwa uzoefu wangu na simu za kichina tumia mwaka mmoja then achana nayo itakudhalilisha, hiyo simu ni ya mwaka 2017 inaenda mwaka wa 4 huu, niamini ukimaliza tatzo la betr jiandae kwa tatizo jingine, huenda tatizo wala sio betr
 
Mwambie achukue samsung a21 hatojutia

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
tafuta ela ununue sim nyingine, by the way kwa uzoefu wangu na simu za kichina tumia mwaka mmoja then achana nayo itakudhalilisha, hiyo simu ni ya mwaka 2017 inaenda mwaka wa 4 huu, niamini ukimaliza tatzo la betr jiandae kwa tatizo jingine, huenda tatizo wala sio betr
Duh
 
Zipo nyingi TU,

Hiyo ya TECNO K7 inaitwa BL- 30RT

Kama uko dar, nkuelekeze ORIJINO yake ya EXCELLLENT kama hii ukachukue
Screenshot_20200730-085529.jpg
 
Nipe maelezo na bei
Nenda k'koo mtaa wa agrey nyuma ya jengo la China plaza.

Kuna Duka kubwa Lina MABANGO kibao ya TECNO, ORAIMO na EXCELLENT.

Mcheki jamaa anaitwa BARAKA,
Ni Agent wa EXCELLENT na ORAIMO DAR nzima

Bei za rejareja sijui, mi Nanunuaga kwa Bei ya jumla TU.

Ila nna imani haiwezi kuzidi 15,000

(Andaa 15,000 maximum,ila inaweza isifike huko)

Namba ake nmekutumia PM
Screenshot_20200806-232430.jpg
 
Nenda k'koo mtaa wa agrey nyuma ya jengo la China plaza.

Kuna Duka kubwa Lina MABANGO kibao ya TECNO, ORAIMO na EXCELLENT.

Mcheki jamaa anaitwa BARAKA,
Ni Agent wa EXCELLENT na ORAIMO DAR nzima

Bei za rejareja sijui, mi Nanunuaga kwa Bei ya jumla TU.

Ila nna imani haiwezi kuzidi 15,000

(Andaa 15,000 maximum,ila inaweza isifike huko)

Namba ake nmekutumia PMView attachment 1530381
we mpe moyo tu, sim ikiliouka ndo matajua hamjui kuwa tecno ni baiskeli ya udongo kweny mvua
 
Back
Top Bottom